Wanaume suruali

Wanaume suruali

Vipi bidada yamekukuta nini maana ujumbe mkali kweli kweli....

usituchanganye na hao wanaume wako kwanza inaonekana upo kibiashara after money wengine tunaheshimiana na kubebeana madhaifu yetu we kakuboa au umekwisha kua nao wangapi na umefanya utafiti gani isijeikawa maswala ya mashairi ya wahenga apa
 
Hata hela za guest inabd muanze kutoa nyinyi hakuna kudekeza bali mgawano wa majukumu
 
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

Nyie mnapenda kuhudumiwa nyie tu mkihudumia kelele kama hizi.
Acha hizo kama ulitoa bac ka kimya .
 
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

hiv hujui ckuhizi mambo yanabadilika? Wanawake wanapiga kaz kuliko vdume, wanaume wasikuhizi wavivu sana... We unafikiri kwa hali hiyo watapata wapi hela ya kukutoa out na kulipa bil? Tunapoelekea huko kuna uwezekano na wao wakabeba ile kitu ya miez 9.
 
She take my money when I'm in needYeah she's a trifling friend indeedOh she's a gold digger way over townThat dig's on me


Sasa hapa unakuta mwanamke anasema kuwa anataka mwanaume ambaye ni class ya juu class za kina david mosha ilan yeye ukimwangalia hadhi yake ni ya kugegedwa kwa gia ya verossa na mshahara wa mil 2 ..,wanajijua wenyewe kwani wameshagegedwa sana na wengine huko hawajafikia hiyo hadhi na wana wish waifikie ila wanavyojishaua
 
Huu uju ni mzuri sana kama huyo jamaa yako yupo humu jf, otherways ungemwambia face 2 face ili next tym mkitoka ajirekebishe.

Ila pia usisahau kuwa ndo usawa mliokuwa mnaudai cku nyingi!
 
Eti mara ooh unajua nina Bentley..... mjomba wangu ana Porsche....... haya bill hiyo hapo kauze Bentley ulipe........ nyau....

Ha ha ha ha! Pretaaa! Iko furahi! Achane ku2ka na masharo! Tafuta men of work!
 
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

utajuta kukutana na wanaume wa mjini. pole lakini
 
Ha ha ha ha! Pretaaa! Iko furahi! Achane ku2ka na masharo! Tafuta men of work!

kwani natoka na masharo basi.......mi nawaonaga tu.....Kenny wangu kasimama bana.......
 
Ha ha ha ha! Pretaaa! Iko furahi! Achane ku2ka na masharo! Tafuta men of work!
kwani natoka na masharo basi.......mi nawaonaga tu.....Kenny wangu kasimama bana.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom