amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
kuna kamoja katoto kweli ndo kwanza kanasoma crtfct ucc baby i love u nataka nikuoe tuzae sasa nikamuask tutaishije na wewe ndo hivyo kkk akaaema "daddy atanipa nisimamie biashara zake za magari""
nkacheka sna maana ningekabemenda halafu na allergy na watoto wa kiume wazuri.
ha ha mwisho wa siku kanabomu vocha
nkacheka sna maana ningekabemenda halafu na allergy na watoto wa kiume wazuri.
ha ha mwisho wa siku kanabomu vocha