Wanaume suruali

Wanaume suruali

Jenu

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
70
Reaction score
44
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa
 
Vipi bidada yamekukuta nini maana ujumbe mkali kweli kweli....
 
Vipi.....tukio tayari.....? Mbona hao tushawaeleza wote.......tumeongea tumechoka......hata JF wapo ujue......
 
Haki sawa zinaendana na majukumu si kurithi na kuwezeshwa tu.
Kuna kulipia bill, kupiga kwata na mengine...
 
Vipi.....tukio tayari.....? Mbona hao tushawaeleza wote.......tumeongea tumechoka......hata JF wapo ujue......

kwa vibomu hawajambo ilayeye hata kukutoa hakutoi
 
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

Dah pole sana dada yangu una bahati mbaya mie kila siku nasikia kuchunwachunwa alafu siwaoni
 
kwa vibomu hawajambo ilayeye hata kukutoa hakutoi

Eti mara ooh unajua nina Bentley..... mjomba wangu ana Porsche....... haya bill hiyo hapo kauze Bentley ulipe........ nyau....
 
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

This is grand over-generalization! Wangapi wamekufanyia hivyo wewe? Wanaume wengine tupo pouwa mbona jamani; Mama anatulia tu kila kitu na service NAINGIA MFUKONI MWENYEWE!

Inawezekana wanaume nao wameanza kuomba UKOMBOZI wa kupigwa mizinga, so labda ni zamu zenu wanawake pia kutoa sasa! Who knows!!!!
 
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

sasa kwann mnataka haki sawa!?
 
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

Wangu ananigharamia kila kitu kuanzia usafiri, room na maakuli mwanzo mwisho....labda tu niamue kulipa! mwenzetu labda ulifanya adverse selection au anaona huna la maana la kumfanya agharimike, kwa ufupi anaona huna jipya kwake! nina uhakika mwanaume anapoona kuna kitu cha kumpendeza unacho atatoa chochote aone una furaha na kamwe hawezi kukutumia labda awe hana uwezo.
 
Utakua umekutana na gubegube...
Wanaume wanaojielewa na kujali hujukumika kwa mambo yote yahusuyo dinero.
 
Eti mara ooh unajua nina Bentley..... mjomba wangu ana Porsche....... haya bill hiyo hapo kauze Bentley ulipe........ nyau....

Aisee P hii kiswahili mbona kama ya machalii wa Mbauda!!!
 
Acheni uzushi...viceversa is more than truth.............
 
Eti mara ooh unajua nina Bentley..... mjomba wangu ana Porsche....... haya bill hiyo hapo kauze Bentley ulipe........ nyau....

ha ha na mgari matatu nampango wa kuanzisha travel agent
babyyule mtu nayemdai hela zangu anazingua nimfanyeje nishauri ha ha ha umburula tu
 
Wangu ananigharamia kila kitu kuanzia usafiri, room na maakuli mwanzo mwisho....labda tu niamue kulipa! mwenzetu labda ulifanya adverse selection au anaona huna la maana la kumfanya agharimike, kwa ufupi anaona huna jipya kwake! nina uhakika mwanaume anapoona kuna kitu cha kumpendeza unacho atatoa chochote aone una furaha na kamwe hawezi kukutumia labda awe hana uwezo.

Ulichoongea kina point ndani yake, kama mzigo unastahili gharama basi italipwa kama mzigo ni chini ya kiwango huwezi gharamia
 
Daah nimesikitishwa na hii hukumu!
Hivi ni kweli wanaume wote tuko hivi? Au unamuongelea uliyenaye?nimeshindwa kukuelewa kabisa!

Kwa nini usimwambie kuwa hupendezwi na tabia yake? Alaf ukimya ndio unawafanya muumie!

Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom