Wanaume stress tupu!!

Wanaume stress tupu!!

Mhhhh! Watu wenye NGEKEWA zao za kupendwa!!! Hongera zenu


ha haaaaaaaa, umeona eeeh!
ngoja nimwambie teja naye asikilize hiki kibao
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
mhh! snowhite atanisaidia kweli baada ya kumsema kuwa anapenda 3some? nahisi nimetukana mamba kabla _________. ngoja ntamnunulia kadi ya "im sorry" na chocolates, pengine atanijibu

AAHHAHAHAHAHHAHAHHAHHAHAH!weye naye!kule anakopewa tabasamu dada mkubwa huwa hatuweki moyoni!siye kila siku kwetu ni cheko tuuu!3sum na The Boss wala haiathiri kukuelekeza waliko wa aina yetu!HIYO IMESHACHUKULIWA HATIMILIKI!maana tumeona watu wanatupiku i see!
 
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane

Red: na huyo nae akikupanga wenzako sita... utahamia kwa ngedere!!
 
This is the so called naked truth.... sina cha kuongeza mkuu AshaDii. "Umeongea kama mwanume vile"...Yaani umeuvaa uhusika... Unajuwa wanawake wengi hawaelewi hili na akishajuwa kuwa mwanaume wake katoka nje anadhani kuwa yule wa kando ndo anapendwa zaidi yake nk...Ukweli wakati mwingine mwanaume anaweza kuwa na huo mpango kando lakini wala akili haiko huko. Issue hapa ni Tamaa tu.

Mmh? Ila Na Si Wanaume Kwa Ku Justify Mambo Hatujambo. Mwanamke Nae Akiwa Na basha lake Mtaani mtasemaje? maana Hapo Mume Pov Litamtoka Na Ndoayaweza Kuisha.
 
Last edited by a moderator:
"Inna lillah wainnaa ilaihi raajiuun" Ww mwehu nin umeona iyo ndo solution..??
 
Mimi ni mwanaume pia nashangazwa na haka kaugonjwa ka kutamani nje japokuwa mtu unakuwa umeoa au upo kwenye serious relationship. Binafsi ninampenda sana mke wangu sipo tayari kushuhudia hata siku moja ndoa yangu ikivunjika lakini pia ninawatamani mabinti wengine (Siyo kwamba nawapenda hapana ni kwamba nawatamani tu)

Nahisi unajaribu kuwa nice.......but you are a naughty boy!
 
Mi najua kwa unafiki wa binadamu huyu dada anaweza kurushiwa maneno sana na kila mmoja akijidai kuwa hapendi usagaji,lakini ukweli ni kuwa bora huyu amekuwa muwazi kuliko wengine wakikana hapa wakati wanafanya huko vichochoroni.
Binadamu ni wanafiki sana tena sana,huenda wasagaji wamejazana humu!


Huyu hajawa muwazi,ila anajaribu kutafuta suluhu ya haraka.......yaonekana anapenda sana kamchwzo ketu kakiutu uzima.Mbona kuna wanawake wengi tu broken heart lakini hawaja fikia kutaka kusagana?
 
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
Kumbuka mafundisho ya dini yako yanasemaje?
 
Huyu hajawa muwazi,ila anajaribu kutafuta suluhu ya haraka.......yaonekana anapenda sana kamchwzo ketu kakiutu uzima.Mbona kuna wanawake wengi tu broken heart lakini hawaja fikia kutaka kusagana?

Nani hapendi hako kamchezo ka kiutu uzima?
Na kupenda sana kwa kipimo gani?
 
Ana pole sana&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Sasa hapa sijakuelewa&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Wanaume ni stress sababu anawanawake wengi ama sababu kakudanganya? Ni wachache wenye kupenda mmoja na kugandana na huyo kila wakati. Ukweli ni kwamba mwanaume anaweza akwa na wanawake sita na akawapenda wote kabisa. Mwingine sababu anafurahia company, mwingine sababu wapo compactible on bed na mwingine sababu labda umemzalia mtoto ama watoto na ni mke na sababu nyingine nyingi tu. Is it right? Hapana! BUT bahati mbaya sana habari ndio hiyo...

Huwa nawashangaa sana wenye mapenzi ni almost perfect kila kitu kipo katika mstari but bado haridhiki na kutaka kuchokoa mengine zaidi ya hapo kwa kutafuta kasoro zilizopo! Ukiwa katika mahusiano, ukiona kila kitu kipo sawa na wafurahia mahusiano live the moment na ufurahie maisha (hope na wewe ulifanya hivo)&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

For believe me you kuna wakati tu utafika utakuta kuwa hay ohayo mapenzi ni machungu hadi unajikuta unafungua thread kwa hasira na lawama nyingi or kufanya lolote lile mradi ujisikie amani. Kila la kheri kwenye kupoa&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];
Long time no see you my dada...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom