Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
😁🤗