Mzee baba, tunazidiana saana mbinu za kutongoza. Amini hivyo.
Ukiingia na mtongozo mzuri kwa mwanamke yeyote.
First appointment itakuwa ni Lodge au geto kabisa kumaliza hesabu.
Au first appointment yenu mnakutana kwenye sehemu ya chakula, mkitoka hapo mnamalizia lodge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yeye hapingi matumizi ya pesa. Tatizo kutumia pesa na muda wakati una uwezo wa kutumia pesa bila kupoteza muda.Tumia pesa ikuzoee
Asee mnaoweza kununua maraya hongereni. One decent girl is all i need. Nakua napiga with no extra costs maana ni mpenzi wangu. Kama kula sehem standard tu inatosha sio KFC wala ukwaju! Show offs zitawaua vijana badala mfanye vitu vya maana. Demu kama hakubali mikato yako basi potezea wako wengi watakuelewa ukiwa real!
Huku kwa majirani zangu tulikuwa tunaenda kwenye chagulaga tunapata vigori safi kabisa.
Over and out.Hizo Pizza Hut na KFC ni migahawa ya hovyo, wanauza vyakula vya kupika haraka haraka kwa kizungu wanaita "fast food" kwa wenzetu hiyo migahawa ilipoanzia ukimpeleka mwanamke anayejielewa sehemu kama hizo unaonekana kapuku aliyetukuka "a very cheap fellow", sasa nyie huko Dar ndio mnaona eti mna hela kwa kula kuku na mikate iliyojazwa manyama ya hovyo....kuleni vitu organic kutoka shamba 😀