Wanaume Shortcut ni Bora.

Hapo nimekuelewa kama unataka kuchit tuu je kama unatafuta kajiko kakudumu utatumia kiasi gani mpaka unakuja kukutana na anayekufaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hapo si pabaya the Beach Club nadhani, nikipita hapo mara nyingi nakuta wazungu ndio wamejaa mpaka najiuliza mbona "wanaume wa Dar" wengi wenye hela hawaji sehemu kama hizi, wanaishia KFC mlimani city

Mleta uzi ni mwanafunzi ndio sehem zao hizo...hata mm mwanangu ndio sehem anazopenda kula ukimtoa
 
Kwa wale wadhaifu mbele ya wanawake hadi inafikia kipindi mwanamke wako anakuita boya mpo,
 
Hata hapo si pabaya the Beach Club nadhani, nikipita hapo mara nyingi nakuta wazungu ndio wamejaa mpaka najiuliza mbona "wanaume wa Dar" wengi wenye hela hawaji sehemu kama hizi, wanaishia KFC mlimani city

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pamoja na kukaa na kuzaliwa Dar lakini sijawahi kua na mikato ya KFC au Pizza Hut, sijui MarryBrown...ni mwendo wa vi mighahawa classic tu..na watoto wana enjoy..

Nilitoa mfano sababu vijana weng wa dar ndo maeneo yao ya outing[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Daah bora kwa wanyakyusa tu. Nikimnunulia maparachichi ya buku na ndizi na mazagazaga yasozidi 10k naenda kula mzigo. Haichukua hata wiki.

Poleni sana wanaume wa Dar

Sent using Jamii Forums mobile app

Akikutana na wanaume wa dar wazee wa kutumia noti demu huna ww[emoji23][emoji23], ndomana wanaume wa mikoan ukiskia dem wako anakuja dar lazma upate stress kdg🤩


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…