Wanaume palilieni shamba lenu

Wanaume palilieni shamba lenu

Ni kweli, lakini umewahi kutambua kuwa kuna wanawake wanapenda misitu maeneo hayo?
Umewahi kufikiria kuwa ipo sanaa ya kuzitumia nywele za huko zikanogesha mechi?
Bila shaka hapana, basi sio kila jambo ni baya kwa wote.
NB:
Hilo la usafi ni sahihi
 
Ukiona mwanaume mchafu jua hata mke wake ni mchafu tena mara mbili!!

Wewe kama mke unamruhu vipi mmeo atoke nje akiwa hajapalilia? wewe kama mke unamruhusu vip mmeo atoke nje akiwa hajachana au kuchomekea??

Kabla hujamlaumu mume jilaume kwanza wewe maana hutimizi wajibu wako kama waziri msaidizi ndani ya nyumba!!

NB: Hapa nimeongelea wale walio kwenye ndoa!
 
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu.

Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Emu nyoeni muepuke aibu na magonjwa. Wanaume zama zimebadirika.
Lubricant ya kwenye kinena ni hiyo minywele....
 
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu.

Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Emu nyoeni muepuke aibu na magonjwa. Wanaume zama zimebadirika.
Zimebadirika X

Zimebadilika ✓
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu.

Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Emu nyoeni muepuke aibu na magonjwa. Wanaume zama zimebadirika.
 
waambie wafuge ndevu nyingi zijae usoni..si ndio mnatakaga?..huko kwingine wapige jordan tu.
 
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu.

Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Emu nyoeni muepuke aibu na magonjwa. Wanaume zama zimebadirika.
Lini nywele zikauguza??

Mwanamke ananyoa ili avae tule tukaoshi twenu, kule chini ananyoa kwa tahadhari ya Hedhi

Sasa mimi nanyoa ili iweje??

Hafu ukumbuke mwanaume anapaswa asifuate mawazo yenu yooote.
Make vitu mnavyovipenda mnavijua wenyewe, leo unakuja na hili kesho unakuja na lile

Wapo mumewasema eti mwanaume mweusi kama rami, mkasababisha watu wakaanza tabia za ki kongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom