Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

Tatizo baadhi ya wanawake hawajui lugha ya vitendo, yaani mfano: mwanamke anaweza kukuangalia tu ukajua anahitaji kupenzika.
Au akavaa kimitego muda wa kupumzika, au wakati mpo ndani mnaendelea na mambo mengine.

Sasa kuna wale wengine mpo ndani tu lakini atachagua nguo za rafu haswa, ukimuelekeza anakwambia wewe umenipendea nilivyo kwa hiyo ukitaka nipendeze au kuvutia muda wote inakuwa mtihani. Si tulikubaliana mwanamke ni pambo la nyumba? Kwa nini usijiweke sexy kwa mume wako?

Lakini kuna wale akina dada wanajua kukaa sexy, wanaelewa mapenzi ni mchezo unaohusisha akili nyingi kwa hiyo lazima atakutega tu, na ukishaingia mchezoni ni full kupenzika tu.

Ndiyo maana unaweza kukuta mtu amepata mchepuko lakini haachani nao kwa sababu mchepuko anaijua sanaa ya mapenzi.
Aisome DeepPond
 
Sina mke bado ila nitajibu kwa experience ya mahusiano yangu.

Scenario mbili. Ya kwanza ni stress na mambo mengi kichwani. Inafika time suala la mapenzi halipiti kabisa unapambana na hali ya maisha. Unasahau hayo ya chumbani na madhara yake ni hayo uliyoongelea.

La pili ni side chicks. Aisee mara nyingine unapata show nzuri huko unatosheka unasahau ya main chick. Ndio nalokutana nalo sasa hivi. Aisee dada wa Kimbulu wewee...

Suluhisho ni wanawake wajitahidi kujituma kuinitiate mapenzi na kuyaboresha pia. Sadly siku hizi kuna competition na maisha na wadada wengine pia kwa hiyo dah kazi ipo.
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Punguza kuwa GOGO madam...

#YNWA
 
Nakumbuka nilikuwa nakaza kila siku mpk mwanamke akaona mbona mm nawaza ngono tu kila siku jmn asbh kbla ajaondoka anapokeaa akirudi kazi usku tumelala anapokeaa tukienda kuoga lazma nimzibue moja Hadi ataki kuoga na mm . aliniwekee kikao na dad ake kuwa mm sas hivi nawaza ngono tu simpi mapumziko na Bado sijatoa mahari Kuna siku alikimbia baada ya kumnyweya kvant kubwa kwa hasira za kufungwa na Kenya ktk fainal za afco 2019 alikimbia siku mbili aonekani napiga simu huko Huko nikaambiwa kakimbilia kwa dad ake ,,show show
Lipia tangazo mkuu
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Kuna upungufu wa maarifa namna ya kuiishi ndoa, penzi tamu ni la mwanamke anaijua kuichukua muda wowote.
 
Limtu linaacti linataka kuguswa ukiligusa linalala unakula huku limelala unaenda kukojoa limelala unafuta mdomo limelala.. si inabidi usijisumbue tokea Tarehe tatu ya mwezi Jana... Mianamake mnaudhi Sana.
Hahaaaaaa Ina maana kukurukakara zooted hazimpi amsha amsha?
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Tatizo ni ninyi wenyewe, mume akitaka visingizio vingi mara nimechoka au sijisikii mume akilazimisha hapo unamtengea tu amwage ulale hapo unafikir bado ataendelea kuona unainjoi Kulala naye si ataona amegeuka kuwa kero kwako?? Kwahiyo kiubinadamu anaona asikusumbue
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa

Mwanaume akimkinai mwanamke Ni HAtari Sana mpaka naona Huruma Na akiwa muungwana hawezi kusema!

Sex is so important Kwa mwanaume; Kama haulizi ujue pasi Na Shaka Ana mke mwingine , wala sisemi award maana watakuwa very close!

Nikupe pole Sana; cha kufanya:

1. Angalia una tofauti gani, mfano: ulikuwa slim Na sasa umekuwa kibonge Sana!

2. Umekuwa mchafu, haujiweki vizuri Kama zamanan.

3. Hii tabia kaanza lini, labda toka hamjaanza ndo yuko hivyo hivyo.

4. labda mna mazingira mengi Sana ya kugombana mpaka anakuchoka!
 
Hii ni ndoa ya kikristo, hili ni tatizo lake kuu.

Unajua ndoa ni kama magari tu, kila aina na matatizo yake na faida zake. Mjerumani haina spea ila mengi ni comfy, umeme mwingi n.k mjapani mengine sio comfy ila reliable n.k

Ndoa za kikristo hasa ukatoliki ni ule umilele na mke mmoja utakayeishi nae milele ndo huleta hili tatizo maana kuna kipindi mnazoeana sasa pona yenu ni kutokuchepuka tu. Mkichepuka tu baasi ndo imeisha hiyo kurudi ngumu.

Tafuteni safari mbadili mazingira ya kufanya mapenzi, huwa inasaidia.
 
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Ukiona hivyo ujue umepandishwa cheo,hongera sana
 
Mwanaume akimkinai mwanamke Ni HAtari Sana mpaka naona Huruma Na akiwa muungwana hawezi kusema!

Sex is so important Kwa mwanaume; Kama haulizi ujue pasi Na Shaka Ana mke mwingine , wala sisemi award maana watakuwa very close!

Nikupe pole Sana; cha kufanya:

1. Angalia una tofauti gani, mfano: ulikuwa slim Na sasa umekuwa kibonge Sana!

2. Umekuwa mchafu, haujiweki vizuri Kama zamanan.

3. Hii tabia kaanza lini, labda toka hamjaanza ndo yuko hivyo hivyo.

4. labda mna mazingira mengi Sana ya kugombana mpaka anakuchoka!

Kukinai kupo, ni jambo lipo. Tena unakinai na unampenda sana tu ila basi tu huna hamu ya kufanya nae ngono.

Hili linatupata wanandoa mara nyingi tu, likidumu kwa muda mrefu suluhisho ni kuwa mbunifu katika kuanzisha sex, kusafiri kwenye mazingira tofauti n.k
 
Back
Top Bottom