Ndio umuonyeshe sasa hizo mbinu....mie nashauri aanze kumpe mume wake ile style ya msomali kafia ndani ya fiatKuna kasehemu kadogo tu Anatakiwa akafix ,aongeze mbinu,,Mambo yatakuwa bambam.
Ndio umuonyeshe sasa hizo mbinu....mie nashauri aanze kumpe mume wake ile style ya msomali kafia ndani ya fiatKuna kasehemu kadogo tu Anatakiwa akafix ,aongeze mbinu,,Mambo yatakuwa bambam.
Kumbee eeeee???Hakika!! Yapo haswa Kaka angu ukijiona we na Wifi yangu ikiwa mchana munawaza giza litaingia saa ngapi wapo wengine hawatamani giza liingie.
🤣🤣Kumbee eeeee???
I hope wewe na shemeji mnakaa na kuomba giza liingie pia
Naomba uni add kwenye hilo group nije kuwagusa!Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Kabisa mkuu. Amenivurugia sana mpangilio wangu wa maisha. Lakini mpaka sasa nimeweza kuishi nae. Nikafanya kitu kidogo tu kwa ajili ya kuuponya moyo. Nikafungua duka nje kabisa kilometa 120 kutoka nyumbani nilipojenga. Basi muda mwingi nashinda huko dukani ndio huko furaha yangu.Dah... umeongea kwa hisia sana mtu ambaye hajaishi na mwanamke kuyaelewa hayo siyo rahisi ... any way pambana mkuu huo ndo utu uzima ...mamndiko yanasema hawa viumbe tuishinavyo kwa akili..
Nina mashaka huenda Ana mambo yake xo anatumia kununa kama silaha .... ukiwa haupo anafurahi na rafikizake ila ukiwepo ni mwendo wa kununa...... any way ifike wakati utafte suluhu mkuu maana hiyo ni taa nyekundu kwenye ndoaKabisa mkuu. Amenivurugia sana mpangilio wangu wa maisha. Lakini mpaka sasa nimeweza kuishi nae. Nikafanya kitu kidogo tu kwa ajili ya kuuponya moyo. Nikafungua duka nje kabisa kilometa 120 kutoka nyumbani nilipojenga. Basi muda mwingi nashinda huko dukani ndio huko furaha yangu.
Hawa watu wakiolewa anajua kila kitu amemaliza,maswala mengi yanabadirika. Unaweza kuongea neno zuri tu ili mlijadiri pamoja. Daaah...! Hilo neno anaweza kulibadirisha kiasi cha ugomvi mkubwa.
Pia hata kitandani panakuwa ziro kabisa. Hawa wanatulazimisha kucheza mechi za nje. Mwanzo wa mechi za nje ilikuwa ni kama majaribio baada ya ndani kushuka sana performance. Nikajua nina tatizo,kumbe ni hisia tu imekufa juu yake. Kwa sasa namshukuru MUNGU sifikirii tena,akileta chokochoko,naimaliza hapo. Namuambia ukweli,halafu nakaa kimya,anabaki anaumia yeye. Naacha ya matumizi kwenye droo,mimi huyo dukani,hapo ujue siku 3,4 kurudi home. Namkuta bado amenuna. Ndio chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na ndio chanzo cha nyumba ndogo hawa.
Ni add kwenye hilo group, na mimi ni mwanandoa🤣😂🤣Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Nikimwambia hiyo dog style anaona kama namuonea sana. Na inaweza kubadirisha hali ya hewa hapo ndani. Kuna siku mpaka aliniuliza kipumbavu sana eti hiyo style umejifunzia wapi?. Nikamjibu usilete wokovu hata kwenye maswala ya ndoa. Eti dunia yote hii nimejifunzia wapi?Hapo kwenye style moja ya kifo cha mende... ni kweli kabisa, hata kama wamechoka miguu lakini bado wanakomalia same style... ukisema twende doggy style au njoo tupige missionaries, stimu zinakata..... hapo lazima tuchepuke.
Acha uchafu.!Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Hawa viumbe asilimia kubwa ndio wanaosababisha nyumba ndogo na kuvunjika kwa ndoa nyingi siku hiziHiki ndicho kilichonikumba mie aisee, ss amenenepa kupitiliza ananizidi kilo kumi wakati mm nsmzidi urefu karibu futi nzima. Hata kutembea kwa shida. Yupo na uzito zaifi 25kg. Sipendi kabisa mwanamke bonge
Nlipo nna mpango wa kuoa bi mdogo japo cjapata bado ili tabia ya kuchepuka niache coz umri nao umenitupa mkono pia hadhi yangu kamanadhalilika kila mara gest
Unaonekana ni mume BWEGE MTOZENI, LOFA, BWENYENYE, HUNA MAAMUZI, PIA HAPO ULIFOSI, HUPENDWI SHTUKA(mawazo yangu)Wewe ni mwanamke. Unaita kikao cha wanaume?. Any way nitakujibu. Mimi mwenyewe simgusi kabisa mke wangu sababu kubwa mnajifanya kujua kila jambo mumepitiliza. Mke wangu hakuna anachoona nimefanya sahihi. Kila kitu anakosoa. Napata sifa tu kutoka kwa watu wa nje. Lakini yeye kila kitu anasahihisha.
Ukija kitandani ndio hamna kabisa,anabana sana. Yaani mpaka nipambane sana. Ni kama ugomvi. Ni Style yetu ni moja tu kifo cha mende,kama wazee vile. Ni kama hatujapitia ujana. inaboa sana
Tukitibuana ananuna hata miezi miwili. Nisiposhuka mimi inaweza kuendelea mpaka miezi minne. Kipindi cha nyuma ilikuwa tukitibuana nashuka naomba samahani mimi ksbb najua yeye hawezi kushuka. Ilikuwa tukitibuana nakosa raha kwenye shughuri zangu. Baadae nikamuomba MUNGU. Tukitibuana naomba nisikumbuke tena ya muda uliopita. Kwa ajili ya kuuponya moyo wangu. Baadae nikaweza. Tukitibuana natulia tu na mimi naendelea na hamsini zangu vizuri tu.
Nimemfanyia kila jambo zuri. Lakini yeye yuko radhi aongee vizuri na marafiki zake,lakini sio mimi.
Kibaya zaidi nyie wanawake wa siku hizi tofauti kabisa na wazazi wetu. Wazazi wetu ilikuwa mzee akichukia akiongea neno kwa ukali,mama atatulia kabisa. Lakini nyie mimi mwanaume nikiongea neno moja nyie mnaongea hata mia tena kwa ukali. Hamjitambui kabisa nyie watu.
Imefika mahala sina hamu nae kabisa. Natamani hata kesho aondoke. Ila ndio king'ang'anizi hatari.
Kuna uwezekano kabisa hata wewe hujui mipaka yako. Unaongea saaana. Maana mnajiona mnajua kila kitu, ili-hali kila kitu mnategemea kwa mwanaume
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ni pa kukaa..
Ngoja jichome neti kwanza
Ungemjibu umejifunzia kwa mbwa...Nikimwambia hiyo dog style anaona kama namuonea sana. Na inaweza kubadirisha hali ya hewa hapo ndani. Kuna siku mpaka aliniuliza kipumbavu sana eti hiyo style umejifunzia wapi?. Nikamjibu usilete wokovu hata kwenye maswala ya ndoa. Eti dunia yote hii nimejifunzia wapi?
Tuna depression Sana yaani too much sijui ndo dunia inakaribia kuisha
Una uhakika huwa ni msafi wakati wote au unanuka maziwa tu na majasho af unategemea mumeo akutafune😅Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa