Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,189
Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?