Wanaume njooni mfunguke.

Wanaume njooni mfunguke.

Wa mikoani mkija dar uwa mnafikia wapi?wengine mshalala sana kwenye makochi ya shemeji zenu.
 
Ha ha haaaa! STUNTER hapo kwenye kugonga ndugu wa shemeji ndo tabia yangu na sitakuja kuiacha kamwe, yaani nakumbuka nilipata ajali na kuvunjika mkono, sasa Dada akataka niende kwake nikae mpaka nitakapopona hapo shemeji yangu sikumkuta maana yeye alikuwa anaishi Dar na Dada anaishi Tanga, kuja kwa mkewe alikuwa akimtembelea baada miezi, basi bwana pale kulikuwa na beki tatu ambaye ni ndugu wa shemeji yangu, yaani shemeji yangu kaenda kumchukua ndugu kisha akamwajiri awe beki tatu wa kumsaidia kazi pale, sasa unajua nilichokifanya, yule beki tatu nikamgeuza mke wangu yaani kila siku napiga tu hadi kuna kipindi nikamwambia, "sasa nataka mtoto". Yaani hii yote kwa hasira tu nikataka kumpachika mimba ili tuheshimiane, alivyokuwa akija kwa mkewe wakiingia kulala tu chumbani kwao sisi tunakuwa tumebaki sebuleni tunaangalia Tv tunakaa kama nusu saa hv au dakika 45 kisha namwambia,"LETE MAMBO HAYO". Bila hiyana mtoto wa kike akawa anachanua miguu mwanaume najisevia, sasa akafikia kipindi beki tatu akawa ananichukulia mimi mdo mumewe sasa,alichokiwa anakifanya ukikaribia muda wa kulala tu akawa anajiandaa kwa ajili ya mechi, yaani ataenda kuoga kisha atavaa Khanga nyepesi bila nguo ya ndani, kisha anakuja kukaa na mimi, napiga moja kwanza kisha tunazama chumbani kwetu kuendelea na gemu, yaani nikaanza tabia sasa, SHEMEJI AKIZINGUANA NA DADA YANGU TU MI HASIRA ZANGU NAMALIZIA KWA BINTI YAKE,yaani siku hiyo napiga show ya kikatili mpaka akawa analalamika nifanye taratibu namuumiza, si unajua mtu ukiwa una hasira! Unatumia nguvu nyingi ili kumkomoa mpaka akawa ananinunia anasema," we unfanya kwa nguvu makusudi ili uniumize" namjibu basi nafanya taratibu, maisha yangu ya kwa shemeji ndo yalikuwa hivyo ila nahisi alishtukia kama na mimi namgegeda Binti yake ndo maana baadae akataka niondoke
 
Usiku unakuwa unawaza jamaa sijui ndo linamkula saivi, pia mnaonekana kama mmeolewa wote
 
Mkuu, mihadi leo naishi kwa shemela mume wa dadaangu. Hapa shemeji ana chumba kimoja na sebule.
Mi nalala sebleni na sina mpango wa kuhama hapa maskani kwa shemela, na ninaona kilakitu poa tu....
Duh.
Huogopi kusikia screaming za dada usiku.
 
Umetisha mkuu!
Umetumia principle ya muosha huoshwa.
 
Ni ujinga.... Sister au dogo analiwa na wewe unaishi humo!? Ujinga.
 
Mada nzuri sana ila imeharibiwa na maneno (mwanaume wa dar)...mbali na hapo elimu ya kutosha ingepatikana
 
Hahahaaaa!! Hakuna aloishi/anayeishi kwa shemeji humu.
Subiri utaona.
Wapo na watakuja tu. Lakini pia nafikiri swali limekuwa too general. Nimeona watu wazima ambao wamehamia kwa dada zao (shemeji zao) ili wakaishi, kula kulala na hakuna mpango wowote wa maisha. Lakini pia nimeona vijana walioishi kwa dada zao wakifanya maandalizi ya kutoka katika maisha. Makundi haya mawili yataona vitu kwa tofauti. Huyu wa pili atamuona dada na shemeji kama anavyomuona mama na baba, huyo mwingine sasa sijui ni tegemezi 100% akiomba hata hela ya pombe na sigara atafaidhaishwa na kila kinachotokea.
 
Kuishi kwa dada yako aliyeolewa ukiwa upoupo tu tena wewe ni kidume mwenye miaka zaidi ya 28 ni tatizo na fedheha kubwa. Imagine mwenye nyumba anaamka asubuhi kwenda mzigoni na akirudi jioni anakukuta upo busy tu unachange channels za DSTV. Inahitaji uwe umejitoa ufahamu kidogo. Ila haya mambo yapo na ndio maisha yenyewe.
Inategemea pia makazi yako yalivyo. Kama unaishi kwa kujibana, nyumba ya sebule moja inakuwa taabu kidogo, ila kama una kasri ya mfalme Sulemani haikupi taabu.
 
Sijawahi kuishi kwa shemeji ila nilishawahi kwenda kumtembelea sister wangu mahali alipoolewa, nlipofika nilijiskia ovyo sana,
yani yule jamaa alikuwa kama anaona sifa hiivi kwamba amenikomoa labda
kwa kumuoa dada yangu,
manake dizain hata akiongea alikuwa anabenua midomo kwa jeuri jeuri...
Na hiko kitu ndo kilinipa ghadhabu ya mimi kuhitaji kumchapia ndugu yake
 
Kumshuhudia ccta akigegedwa kisawasawa na shemeji sipendezwagi Mimi....Siunajua Nyumba zetu haznaga siri
 
Mkuu, mihadi leo naishi kwa shemela mume wa dadaangu. Hapa shemeji ana chumba kimoja na sebule.
Mi nalala sebleni na sina mpango wa kuhama hapa maskani kwa shemela, na ninaona kilakitu poa tu....
Aisee ondoka halaka ukakae na mshikaji wako gheto, labda ufike kwa mahitaji mengine, msosi, nk
 
Nawaza hapa na hiv leo wikend umekaa sebuleni na remote yako mkononi alafu shemeji anatoka chumbani akiwa na taulo tu.
uvumilivu au kujitoa akili kunahitajika.
 
Inatokea umemaliza chuo.Pia huna pa kukaa Ili kujishikiza upate Kazi.Mi Naona shida tu Ndo zinazosaidia MTU kukaa kwa Dada Hakuna anayependa.Ni shida.Ila hasemi tu.
Heloo wako wanaopenda, niliwahi shuhudia chapombe mmoja akiishi kwa dada yake na akidai hata nyumba wanayoishi ameshirikiana na shemeji yake kuijenga, only kwa sababu alikuwa akitumwa kusimamia ujenzi!
 
Mkuu...
Minilisha sema kwa shemeji sihami bhan, na watu wengi walisha nisema sana tu.....
Mkuu kwani unahofu gani inayokuzuia kuondoka hapo kwa shemeji? Au una maslahi gani yanayokulazimu uwe kama ruba hapo?
 
Back
Top Bottom