Wanaume njooni mfunguke.

Wanaume njooni mfunguke.

Nashukuru maana sio mwanaume wa Dar ila najibu kama mwanaume, kwa upande wangu sipendi na sitaki kujua kuwa kusudi la Dada kuwa pale ni ku.... To..... M.... Bwa hivyo najaribu kuvuta picha ninavyo mviringa demu Wangu halafu eti nipo pale kwa Dada yangu ambae amekuja pale kuviringwa hapo akili yangu inagoma kuwa na hii familia ya Dada yangu karibu maana najua siku hazifanani kuna siku Dada atapunguza mapishi ya bed halafu bwashe atanunia mapaka chakula we utasalimika kununiwa ? Hapo inakuwa ngumu sana
 
Sijawahi kuishi kwa shemeji ila nilishawahi kwenda kumtembelea sister wangu mahali alipoolewa, nlipofika nilijiskia ovyo sana,
yani yule jamaa alikuwa kama anaona sifa hiivi kwamba amenikomoa labda
kwa kumuoa dada yangu,
manake dizain hata akiongea alikuwa anabenua midomo kwa jeuri jeuri...
Na hiko kitu ndo kilinipa ghadhabu ya mimi kuhitaji kumchapia ndugu yake
 
Back
Top Bottom