Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,611
- 21,135
Kuishi kwa dada yako aliyeolewa ukiwa upoupo tu tena wewe ni kidume mwenye miaka zaidi ya 28 ni tatizo na fedheha kubwa. Imagine mwenye nyumba anaamka asubuhi kwenda mzigoni na akirudi jioni anakukuta upo busy tu unachange channels za DSTV. Inahitaji uwe umejitoa ufahamu kidogo. Ila haya mambo yapo na ndio maisha yenyewe.