Wanaume njooni mfunguke.

Tuta Absoluta

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
284
628
Habari za jioni wana MMU. Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Kuna swali hua najiuliza sana ila leo nataka nipate mawazo ya wengi katika hili.
Wanaume tumekua tukiona fedheha sana kukaa kwa shemeji zetu ( alikoolewa dada)

Swali: kwa mliobahatika kukaa kwa shemeji zenu ni kitu gani kilichokua kinakufanya ujione mnyonge/ fedheha kuishi kwa shemeji.

Kwa ambao hamjawahi kuishi kwa shemeji zenu unahisi ni kitu gani kitakufanya ushindwe kuishi hapo.

Hii kitu ipo sana mjini Dar es salaam so nategemea kupata mawazo mengi kutoka kwa wanaume wa Dar.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom