MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Bahati mbaya mpenzi wa moyo wangu hataki.............nami namheshimu sina budi kustop sasa. LolKwa minajili hiyo uwe unachakachua konyagi Mwanajamii1,then utupe ukweli mgumu kama leo..................lol
kwakuwa wewe Michelle ni mwanamke,
najua umeniuliza hili swali kwa mitego tu!
Anyway, si wanaume wote ni wavumilivu,
pindi wanapozungushwa once wakimtongoza mwanamke,
kwahiyo kama itatokea mwanamke akaonyesha tabia ya sitaki nataka kwa sana,
anaweza kumkosa yule mwanaume ambae si mvumilivu wa kusubiri!
ndipo hapo nasema signs nyingine are not realistic,
mwanamke anakuzungusha sana ili aonekane machoni kwako sio mrahisi kiivyo,
kumbe na yeye amependezwa nawe,
anakuja kusema YES, wakati kidume umeshachukua maamuzi mengine!!!!!!(kwa wale wasio na uvumilivu)
mmmhh asante mkuu
leo mi nakufuatilia tu
kwa nyuma na kusoma tu...
hata sintakusumbua kukujibu lol
lete mamabo lete
leo ndo nimeanza kumjua Bacha
asante mkuu[/QUOT)
By the way,AD Vipi?,
sakata lako liliishaje jana,
nilisikia kwa mbali tu,
kuwa kuna mtu kaachwa kwa kuwa bwana kampata mwingine,
hebu nambie bana!!!!
Lol..........I think you meant you deserve mwanaume ambaye atakuchukulia wewe kama his own.......sidhani kama kwa karne hii kuna mwanamke anayeweza kuwa na her own man michelle........................
sorry kwa kujib bana hajaacha kwakuwa kapata mwingine bali mapenzi kwa AD yaliisha akaamua kulivua pendo,si unajua yy si mgeni wa mapezni na maumivu anayajua sanaaaaaaaaaaaaa
oraiti!!!
teh teh teh habari yake konyagi.....Babu yangu Kimey..................leo akili yangu nadhani imelewa hisia za konyagi.
Nimeamka alfajiri na kuisaka nyumba nzima.....bahati yangu sifanyi kazi karibu na Bar mbona ndo ingekuwa kifungua kinywa!!
Nimechakachuka.
sorry kwa kujib bana hajaacha kwakuwa kapata mwingine bali mapenzi kwa AD yaliisha akaamua kulivua pendo,si unajua yy si mgeni wa mapezni na maumivu anayajua sanaaaaaaaaaaaaa
!
oraiti!!
Lol..........I think you meant you deserve mwanaume ambaye atakuchukulia wewe kama his own.......sidhani kama kwa karne hii kuna mwanamke anayeweza kuwa na her own man michelle........................
Unajua bacha na michele mapenzi ya sasa ni muhimu mtu kutofautisha hisia na facts..............Kaka Acid amekuwa akijitahidi sana kuapply theory hii sehemu nyingi............yale mapenzi ya zamani tukiwa shule, mtu unalala na picha ya mpenzi kifuani hadi asubuhi au chini ya mto hakuna tena eti unaamini naye anakupenda and he is looking forward to see you in the next coming debate day..........loh jua tu cheating ipo....kwa wote wanaume na wanawake cha kuomba MUNGU akuheshimu asikuonyeshe live na wala asichakachuliwe kiasi cha kuharibu hata kile kidogo mlicho nacho.Thanks, MJ1,
haya ndo mawazo ambayo mwanamke wa kileo anapaswa kuyajua mapema,
Na ukibishana na huu ukweli, utaumia maisha yako yote!!!
thats what i meant my dear...........lol,najua sitakuwa mwenyewe na kutokana na si kuwa wengi zaidi yao,hakuna neno,aniheshimu,anipende,anijali,anilinde,na atimize wajibu wake kwangu na kwa familia...........lol:smile-big:
Bahati mbaya mpenzi wa moyo wangu hataki.............nami namheshimu sina budi kustop sasa. Lol
unajua michele mapenzi ya sasa ni muhimu mtu kutofautisha hisia na facts..............kaka acid amekuwa akijitahidi sana kuapply theory hii sehemu nyingi............yale mapenzi ya zamani tukiwa shule, mtu unalala na picha ya mpenzi kifuani hadi asubuhi au chini ya mto hakuna tena eti unaamini naye anakupenda and he is looking forward to see you in the next coming debate day..........loh jua tu cheating ipo....kwa wote wanaume na wanawake cha kuomba mungu akuheshimu asikuonyeshe live na wala asichakachuliwe kiasi cha kuharibu hata kile kidogo mlicho nacho.
michelle hapo mambo poa mie nijuacho ni kwamba wasichana wengi wakiwa bed huwa wanajisahau, mwonyeshe mwanaume kuwa unaweza lkini ukilemaa harudi tena hivyo nawaasa dada zangu jitumeni vinginevyo hata mkiolewa mtaachwa ndani na mume atakwenda kutafuta amridhishaye
Sababu nyingine hii ya kunywa bia!!Lol..........I think you meant you deserve mwanaume ambaye atakuchukulia wewe kama his own.......sidhani kama kwa karne hii kuna mwanamke anayeweza kuwa na her own man michelle........................
Unajua bacha na michele mapenzi ya sasa ni muhimu mtu kutofautisha hisia na facts..............Kaka Acid amekuwa akijitahidi sana kuapply theory hii sehemu nyingi............yale mapenzi ya zamani tukiwa shule, mtu unalala na picha ya mpenzi kifuani hadi asubuhi au chini ya mto hakuna tena eti unaamini naye anakupenda and he is looking forward to see you in the next coming debate day..........loh jua tu cheating ipo....kwa wote wanaume na wanawake cha kuomba MUNGU akuheshimu asikuonyeshe live na wala asichakachuliwe kiasi cha kuharibu hata kile kidogo mlicho nacho.
Amen..........ingawa unaweza ukawa umeelewa visivyo but yes I have my lovely one.............ambaye ndie ananifanya niwe na nguvu ya kuamka asubuhi nikafanye kazi kwa furaha na kuwa na siku ya amani ambayo siwezisubiria masaa yaishe ili nikamwone nyumbani...........Longlive my firstbornNafarijika kuona MwanajamiiOne ametatua matatizo yake ya siku za nyuma yaliyokuwa yanamsonga kwenye familia yake na leo ametudhihirishia kuwa una mpenzi wako wa moyo unayempenda na kumheshimu na kuachana na yule aliyekuwa anakutenda.
Mungu apewe sifa na utukufu kumuondolea member huyu matatizo aliyokuwa nayo na leo amekuwa mshuhuda wa mapenzi.
Thanks MwanajamiiOne!!!!
mmmhh asante mkuu
leo mi nakufuatilia tu
kwa nyuma na kusoma tu...
hata sintakusumbua kukujibu lol
lete mamabo lete
leo ndo nimeanza kumjua Bacha
asante mkuu[/QUOT)
By the way,AD Vipi?,
sakata lako liliishaje jana,
nilisikia kwa mbali tu,
kuwa kuna mtu kaachwa kwa kuwa bwana kampata mwingine,
hebu nambie bana!!!!
mmmhhh jamani
bado tunayaongelea..
prenuptial agreements, time apart, open relation, mmmhh or forgiveness
bado hatujafikia muahafaka lol