Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
We umeolewa au ni singo maza?Oa kwanza , nyie ndyo mnapelekea tuitwe majina ya single mothers arrgh
We umeolewa au ni singo maza?Oa kwanza , nyie ndyo mnapelekea tuitwe majina ya single mothers arrgh
Wanaume huwa hawataki kukubali kwamba hata mwanaume anaweza kuwa hana uwezo wa kuzaa,,, naona mara nyingi mwanamke ndiye ananyooshewa vidoleIshatokea mtu aliacha mkewe wa miaka 3 kisa hazai akatoa talaka kakomaa na mchepuko ukiwa na ujauzito(hatujui hadi leo kama ni wake kweli au la)
Mke baada ya km mwaka akapendana na mtu mwingine kashika mimba kazaa..
Una miaka mingapi? Mi mtoto wangu wa kwanza nimempata nikiwa naiaka 30 wa pili 33Mkuu age inaenda mtt mhm asee
Una miaka mingapi? Mi mtoto wangu wa kwanza nimempata nikiwa naiaka 30 wa pili 33
Kuna jamaa yangu ana miaka 34 hana mtoto wala mke, jamaa yangu mwingine ana 38 huyu ana mke lakini hana mtoto
Wewe una miaka mingapi?
Wanaume huwa hawataki kukubali kwamba hata mwanaume anaweza kuwa hana uwezo wa kuzaa,,, naona mara nyingi mwanamke ndiye ananyooshewa vidole
Sasa mbona umri bado sana,Hapi kwenye 30 yako minus 6 ndo age yangu
Sasa mbona umri bado sana,
Katika hiyo sita uliyoniambia ni-minus na wewe minus 2 (yaani 6 minus 2), itakayobaki tafuta hela kwa nguvu na akili zako zote,
Kisha utafanya 30 minus 2 utakua umeshafika hapo sasa plus 1, naamini hapo utaamua uoe au upige mimba, lakini utakua umeshajijenga sana kimaisha
Uzi wa kibaguzi huu
Oa kwanza mimba baadae
Huu ni uchocheziHawa ndio watoto wetu wa kiume walah!! Hata akili hawana, sasa watalea vipi familia[emoji134][emoji134]
Mafurushi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chumvi ipi ile ya mawe mawe au kama punje za sukari?mmmhhh!! punguza chumvi kidogo
Hapo hakuna kumkomoa bali ni kukomoana jino kwa jinowanasema wanawakomoa
hata huyo naye,ana mtoto wake kazaa na mke mwingine wa mtu ambaye ni mchepuko wake
Hapo sasaNdo kitakachotokea, alafu wanakuja hapa kunanga single mama
Ndiyo inavyokuwa, na mwingine akiona isiwe shida anaenda zurulisha huko mimba kisha anamwambia yako hiiNgoja ujaribu kumbebesha mimba igome halafu ukiachana naye tu anabeba, utaelewa maana ya shake well before use wanayokushauri hapa
utakuwa umeshajua namaanisha nini
Hapo anaona aibu akimuacha mchepuko ataadhirika hivyo analilia tumboniIshatokea mtu aliacha mkewe wa miaka 3 kisa hazai akatoa talaka kakomaa na mchepuko ukiwa na ujauzito(hatujui hadi leo kama ni wake kweli au la)
Mke baada ya km mwaka akapendana na mtu mwingine kashika mimba kazaa..
Na Mungu asivyopenda unafiki anawaumbuaga kweliWanaume huwa hawataki kukubali kwamba hata mwanaume anaweza kuwa hana uwezo wa kuzaa,,, naona mara nyingi mwanamke ndiye ananyooshewa vidole
Waswahili wanasema, kila swali lina jibu.Hahaa, maswali gani hayo sasa ,ubaguzi tu[emoji3] [emoji3]
Non of them mkuuWe umeolewa au ni singo maza?