Wanaume nipeni ushauri hapa, nioe kwanza au nimpe mimba?

Wanaume nipeni ushauri hapa, nioe kwanza au nimpe mimba?

Halafu nyinyi nyinyi mnjiita wanaume mnakuja kuwananga single mothers na kuwakejeli kwamba ni wajinga na hawajitambui... sasa hapo sijui mjinga nani kati ya mtoa mada na huyo singe mother mtarajiwa. Endeleeni kushauriana ujinga
 
Halafu wanaume bana wanashangaza ! Yani yeye hapo ana uhakika sio mgumba ila wasiwasi wake kwa mwanamke. Sijui kawasiliana na Mungu ?
Jiulize hata wewe kila siku walia oohoo nimeenda kupima DNA watoto wote si wake ,
unakuta huyo katukana wasio na watoto kumbe naye kasaiduwa
 
Kama una uwezo wa kulelea hiyo mimba, pia baadae usijejuta kuwa umelea mimba ukijua ni ya kwako kumbe ya kidume mwenzio
Unzani wote wanaume wenye wake zao watoto ni wao? La hasha wanawake wengi akiona ndani
kuna buma wanajiongeza mme anakenua kuwa ni kidume kumbe kidume yupo pembeni
 
Halafu nyinyi nyinyi mnjiita wanaume mnakuja kuwananga single mothers na kuwakejeli kwamba ni wajinga na hawajitambui... sasa hapo sijui mjinga nani kati ya mtoa mada na huyo singe mother mtarajiwa. Endeleeni kushauriana ujinga
Akimpa mimba kisha anamuona mwingine mrembo , huyu anapigwa chini
 
Back
Top Bottom