financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Kweli na majibu yenyewe ndyo kama hayoWaswahili wanasema, kila swali lina jibu.
Kweli na majibu yenyewe ndyo kama hayoWaswahili wanasema, kila swali lina jibu.
😂😂 Daah! You are making my day. I mean, Every reply of yours is so f**** funny.Non of them mkuu
Chizi weweUmekoma kuuliza maswali ya hovyo[emoji3] , dracular wee!
Basi itabidi nikuoeNon of them mkuu
Hahaa, chacha bana afu nilikosea its "none of"... not "non" dah lugha za watu hizii, Morning Chacha, I hope you're fine![emoji23][emoji23] Daah! You are making my day. I mean, Every reply of yours is so f**** funny.
Furushi lako umeliacha wapiHawa ndio watoto wetu wa kiume walah!! Hata akili hawana, sasa watalea vipi familia[emoji134][emoji134]
Mafurushi.
Hahaa, tena chizi haswa , hongera timamu Dracula, ndyo maana upo ki Dracula Dracula tu mfyuuuu.Chizi wewe
🤣🤣🤣🤣🤣 kwa hili tusi unakaribia kupokea tuzo mama! Bonge la DissHawa ndio watoto wetu wa kiume walah!! Hata akili hawana, sasa watalea vipi familia[emoji134][emoji134]
Mafurushi.
Mama unaonaje nasie tujaribua hii sredi kwa vitendo 😁Hahaa, tena chizi haswa , hongera timamu Dracula, ndyo maana upo ki Dracula Dracula tu mfyuuuu.
bibieHahaa, tena chizi haswa , hongera timamu Dracula, ndyo maana upo ki Dracula Dracula tu mfyuuuu.
Ni kweli ila mie kijiko kimoja tu lazma uvimbe juu,🤣🤣🤣Wanaume huwa hawataki kukubali kwamba hata mwanaume anaweza kuwa hana uwezo wa kuzaa,,, naona mara nyingi mwanamke ndiye ananyooshewa vidole
Abeee...Mama unaonaje nasie tujaribua hii sredi kwa vitendo [emoji16]
morning bebz😍Abeee...
Ufafanuzi tafadhalimorning bebz[emoji7]
Typing error baby boo wangu, si unajua haka ka Itel sijakazoea huwa kana type vitu vya hovyo sometimes sababu ya ile auto-correction.Ufafanuzi tafadhali
Mmmh sawa, ila sio kwa uswahili huu[emoji23][emoji23]Typing error baby boo wangu, si unajua haka ka Itel sijakazoea huwa kana type vitu vya hovyo sometimes sababu ya ile auto-correction.
Badala ya kuandika "Unaonaje tuharibu hii thread kwa vituko"
Ikaandika "Unaonaje tujaribu hii thread kwa vitendo"
Imezingua kinoma bebz but usiwaze.
Uswahili tena bebi wangu? Whats that suppose to mean?Mmmh sawa, ila sio kwa uswahili huu[emoji23][emoji23]