Piga mimba babu, acha kupoteza time
Ndo kitakachotokea, alafu wanakuja hapa kunanga single mamaAkimpa mimba kisha anamuona mwingine mrembo , huyu anapigwa chini
Ndo kitakachotokea, alafu wanakuja hapa kunanga single mama
Ngoja ujaribu kumbebesha mimba igome halafu ukiachana naye tu anabeba, utaelewa maana ya shake well before use wanayokushauri hapa
utakuwa umeshajua namaanisha nini
Wewe ni mwanaume??Oa kwanza , nyie ndyo mnapelekea tuitwe majina ya single mothers arrgh
Kabla ya vyote pangeni future yenu kwanza especially kiuchumi .Wakuu habar bila poteza muda, mada/ uzi huu nime target kwa wanaume tu wanawake piteni mbali kabisa. Kwa miaka ya sasa kipi kianze hapo ndoa au mimba??
Uzi tayari
Hapana Mimi ni mwanamke kama weweWewe ni mwanaume??
Pumbafuu..Hapana Mimi ni mwanamke kama wewe
Ishatokea mtu aliacha mkewe wa miaka 3 kisa hazai akatoa talaka kakomaa na mchepuko ukiwa na ujauzito(hatujui hadi leo kama ni wake kweli au la)Ngoja ujaribu kumbebesha mimba igome halafu ukiachana naye tu anabeba, utaelewa maana ya shake well before use wanayokushauri hapa
utakuwa umeshajua namaanisha nini
Ebu fikiria huyo ndio dadako au bintiyo halafu unamsikia boyfriend wake anatamka hivy😵a acha ushetani.
Umekoma kuuliza maswali ya hovyo[emoji3] , dracular wee!Pumbafuu..
Kabla ya vyote pangeni future yenu kwanza especially kiuchumi .
Tia mimba kwanza chelewa sasa utaja lia
😂😂 DaahHapana Mimi ni mwanamke kama wewe
Hahaa, maswali gani hayo sasa ,ubaguzi tu[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23] Daah