Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,570
- 55,127
Kama una uwezo wa kulelea hiyo mimba, pia baadae usijejuta kuwa umelea mimba ukijua ni ya kwako kumbe ya kidume mwenzio
Halafu wanaume bana wanashangaza ! Yani yeye hapo ana uhakika sio mgumba ila wasiwasi wake kwa mwanamke. Sijui kawasiliana na Mungu ?
Ebu fikiria huyo ndio dadako au bintiyo halafu unamsikia boyfriend wake anatamka hivy😵a acha ushetani.
Olewa kwanza
Oa kwanza , nyie ndyo mnapelekea tuitwe majina ya single mothers arrgh
Halafu wanaume bana wanashangaza ! Yani yeye hapo ana uhakika sio mgumba ila wasiwasi wake kwa mwanamke. Sijui kawasiliana na Mungu ?
Kama una uwezo wa kulelea hiyo mimba, pia baadae usijejuta kuwa umelea mimba ukijua ni ya kwako kumbe ya kidume mwenzio
Mkuu unaoa kiumbe aliyeongea na nyoka live pale mtini [emoji3]
Naona mmeshindwa vumilia ingawa mtoa post kagoma ke kushiriki kwenye thread yake
Shake well before use Kama mmekubaliana mtaoana na mnatamani kuwa na watoto.Halafu wanaume bana wanashangaza ! Yani yeye hapo ana uhakika sio mgumba ila wasiwasi wake kwa mwanamke. Sijui kawasiliana na Mungu ?
Halafu wanaume bana wanashangaza ! Yani yeye hapo ana uhakika sio mgumba ila wasiwasi wake kwa mwanamke. Sijui kawasiliana na Mungu ?
Naona mmeshindwa vumilia ingawa mtoa post kagoma ke kushiriki kwenye thread yake
Siredi ni yake ikiwa kwake ikija humu ni yetu sote...[/ uvumilivu umekushinda
wazee wa wakuzalisha na kuacha,huwa naona unawawashia sana moto humu jfHawa ndio watoto wetu wa kiume walah!! Hata akili hawana, sasa watalea vipi familia[emoji134][emoji134]
Mafurushi.
Usioe wala usimpe mimba. Endelea kutimiza malengo yako mengine ya maisha.