WANAUME: Nimewainulia mikono!!

Hahahahahahaaaaaaa ukweli wa hayo unayosema atakuja kuusema yeye mwenyewe. Angekuwa amepoteza nuru wanaume humu mngemuwashia full light zenu?
 
Hadithi ina mafunzo mazuri lakini hadi mwisho sijaona kama mwanaume ndiye mwenye mushkeli hapo...shida ipo kwa huyo mwanamke kwani alitema BIG G kwa karanga za kuonjeshwa...
"Wanawake jifunzeni kuacha mbwembwe"

alikua ana njaa na ndoa mkuu....
 
alikua ana njaa na ndoa mkuu....

Najua wanawake wengi hapa wataona kuwa kosa lipo kwa Aman, lakini ukweli ni kwamba huyo Tumaini hakuwa mvumilivi hata mwisho...
Bado narudia tena, kujua namna mwanamke anavyowaza na kutafakari ni ngumu mno...huwa sina uhakika processor ya brains zao ni Celeron, Pentuim IV au iCore7!
 

basi bana baada ya hapo akendaaaaaaaaaa, akaendaaaaaaaaa, akaendaaaaaaaa x50!

Alikufundisha ina maana gani? Ukishikwa shikamana.
 
ungetunuilia miguu ningekuona umefanya la maana,mikono kawaida tushaizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…