Kwa maneno yako watakutambua na kwa matendo yako utajionesha wewe ni wa umri gani. Yaani huwezi kuimbisha mrembo mpaka uzime taa asikuone usoni, mpaka watu wote waondoke unaogopa kuchekwa ukipigwa za uso. Hahaahahahaaaaaaaaaaaaa...sasa kama humu kunakushinda utaweza kutupa ndoano kwenye daladala kweli?
Mwambie tena kwa sauti asikie, akiona vyaelea ajue vimeundwa.Usitusemee Charming utaharibu kila kitu, mi nataka nisikie kwanza mistari ya Mr Rocky, halafu hajui kama maneno yote matamu nilishaambiwa
Wewe si ndiye uliyesema unajiamini kwa miss wa kinyaru, vipi tena unaogopa kivuli changu?Heaven on earth we si unamuona dogo grafani11 yeye muda wote macho juu tuu na hapa sijui kapotelea wapi au ndo yuko chumbani na miss wa kinyaru
Kwa maneno yako watakutambua na kwa matendo yako utajionesha wewe ni wa umri gani. Yaani huwezi kuimbisha mrembo mpaka uzime taa asikuone usoni, mpaka watu wote waondoke unaogopa kuchekwa ukipigwa za uso. Hahaahahahaaaaaaaaaaaaa...sasa kama humu kunakushinda utaweza kutupa ndoano kwenye daladala kweli?
Wewe si ndiye uliyesema unajiamini kwa miss wa kinyaru, vipi tena unaogopa kivuli changu?
Kila la heri
Jamani jamani huyu Mr Rocky sijui yukoje, wewe mwenyewe ndo uliniita chumbani umeona nimechelewa kuja unatafuta ugomvi kwa Grafuni11 na Heaven on earth, grafuni11 huy rafiki yako yukoje, anataka kupandisha tena pressure ya Heaven on earth na huku ilikuwa imeshashuka huyu ana lake huyu msipoangalia atawatenganisha,. Ngoja nimfuate huko chumbani nikamsikilize labda atapunguza umbea na wivu. Haya hodi chumbani Mr RockyHeaven on earth we si unamuona dogo grafani11 yeye muda wote macho juu tuu na hapa sijui kapotelea wapi au ndo yuko chumbani na miss wa kinyaru
Nawasihi msimruhusu Mr Rocky aingie katikati yenu atawasambaratisha huyuKila la heri
Nawasihi msimruhusu Mr Rocky asingie katikati yenu atawasambaratisha huyu
Wahi mama kampe, sio bure atakuwa ana HYSTERIA tu.Jamani jamani huyu Mr Rocky sijui yukoje, wewe mwenyewe ndo uliniita chumbani umeona nimechelewa kuja unatafuta ugomvi kwa Grafuni11 na Heaven on earth, grafuni11 huy rafiki yako yukoje, anataka kupandisha tena pressure ya Heaven on earth na huku ilikuwa imeshashuka huyu ana lake huyu msipoangalia atawatenganisha,. Ngoja nimfuate huko chumbani nikamsikilize labda atapunguza umbea na wivu. Haya hodi chumbani Mr Rocky
Jamani jamani huyu Mr Rocky sijui yukoje, wewe mwenyewe ndo uliniita chumbani umeona nimechelewa kuja unatafuta ugomvi kwa Grafuni11 na Heaven on earth, grafuni11 huy rafiki yako yukoje, anataka kupandisha tena pressure ya Heaven on earth na huku ilikuwa imeshashuka huyu ana lake huyu msipoangalia atawatenganisha,. Ngoja nimfuate huko chumbani nikamsikilize labda atapunguza umbea na wivu. Haya hodi chumbani Mr Rocky
Hapewi mtu hapa naenda kumsikiriza halafu nakuja kukwambia atakachoniambiaWahi mama kampe, sio bure atakuwa ana HYSTERIA tu.
nbinamu nakusalimia!!
nbinamu nakusalimia!!
Hapewi mtu hapa naenda kumsikiriza halafu nakuja kukwambia atakachoniambia
hawa watu bwana ni nouma yaan kaaz kwel kwel akidhamiria kukupata atafanya njia hata pasipo na njia inabidi tuwazoee tu na kujifunza kuwa na msimamo!!!
Kumbe unampango wa kunikaba basi siji ng'ooombona unaongea kwa kubana pua sasa si useme tuu hapa ushabanwa mbavu huna pa kutokea miss wa kinyaru