Malkia lakini umeyasoma maneno yake vizuri. Hebu piotia kwanza post yake halafu utaamini ni kwanini nilijikuta tu mwanaume maneno yakinitoka bila breki.My king is it you au kuna mtu ka hack account yako!!!!!
naanza kuamini maneno ya Mr Rocky sasa.......,mmh mapenzi haya acha tu
Heaven on earth umeaini maneno yangu eehh huyu grafani11 ni majanga
Hapo utasema tena anayechakachua siredi ya charminglady ni grafani11Heaven on earth umeaini maneno yangu eehh huyu grafani11 ni majanga
Mkuu matumbo, wewe ndiye umemtusi charminglady, baada ya kutafsiri kuwa ni tusi. Lakini, hadithi yake hata kama ni kweli au ya kutungwa, nimeipenda na itakuwa ni fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo. Ushauri uliotolewa haukulenga kutusi mtu, ina maana hujawahi ona hadithi/makala kama hizo kwenye gazeti ikiwa kama hadithi ya kweli. Lengo lake ni kufikisha ujumbe kwa watu wengi kuliko kuishia JF pekee ambako mwenye kuweza kusoma ni yule mwenye access na network ya JF.
Malkia lakini umeyasoma maneno yake vizuri. Hebu piotia kwanza post yake halafu utaamini ni kwanini nilijikuta tu mwanaume maneno yakinitoka bila breki.
Nasubiri pati two ya hii kitu ahahah
Heaven on earth nilikuambia jana huyu dogo grafani11 ni majanga halafu bado ana guts za kujitetea eti alipitiwa na alikuwa hamaanishi charminglady vere sori tunachakachua siredi kwa muda kupitisha matangazo ya biashara
Turudi kwenye mada Malkia wangu, invoice ya jana niliyolipa inanitosha. Leo atalipa nani?
34yrs, mnene, mweusi, mfupi wa 4.8ft.... Wewe je?
Leo asubuhi tu kabla sijatoka kitandani nilipokuangalia nikakusifu, ulipoamka ukatinga ile kanga moko yako ukielekea kuniandalia kifungua kinywa mashaaalaaah nilikusifia, ulipotoka bafuni bila kitu kumwili nikakusifia. Bado tu Malkia wangu.nimeisoma zaidi ya mara 20,lakini nnachokiona ni my king kumsifia huyo mdada,
mie mara ya mwisho sijui ulinisifia lini
Dah yani i love that, yan napend black, emb tukae sehem tulonge mama watoto!!!
Kuhusu umri sijawahi fanya mapenz na miaka, ilimradi ujue ku shake kwa bed!!!!
UPO HAPO!!!! NADHANI UMEELEWA
Leo asubuhi tu kabla sijatoka kitandani nilipokuangalia nikakusifu, ulipoamka ukatinga ile kanga moko yako ukielekea kuniandalia kifungua kinywa mashaaalaaah nilikusifia, ulipotoka bafuni bila kitu kumwili nikakusifia. Bado tu Malkia wangu.
Heaven on earth nilikuambia jana huyu dogo grafani11 ni majanga halafu bado ana guts za kujitetea eti alipitiwa na alikuwa hamaanishi charminglady vere sori tunachakachua siredi kwa muda kupitisha matangazo ya biashara
Heaven on Earth mpenzi usiwe na wivu huyu ni king wako mama, amependa maneno tu. Grafani11 njoo huku umtoe wasiwasi your Queen.My king is it you au kuna mtu ka hack account yako!!!!!
naanza kuamini maneno ya Mr Rocky sasa.......,mmh mapenzi haya acha tu
Wanaume ni mashetani hata wakiinuliwa miguu ni kazi bure!
ha ha haaa penye moto mwaga petrol
eti leo invoice analipa nani,wewe au grafani11 tena......,
Heaven on Earth mpenzi usiwe na wivu huyu ni king wako mama, amependa maneno tu. Grafani11 njoo huku umtoe wasiwasi your Queen.
Nalipa mimi hapa usiwe na wasi wasi
Tuliza pressure mamy hakuna wa kukupora king wako, mzima lakinimmh nilishtuka mwenzio nikasema my king na miss wa kinyaru
nna changu kweli hapo,kama ni maneno tu hamna shida