Wanaume nijibuni..

Wanaume nijibuni..

Iyo ipo sana, wengi hawawez kukaa na mpenzi mmoja. Lkn katika hao alionao kuna 1 anayempenda, mapenz hayana formula
 
Dada mwanaume amebeba pegu zaidi ya mamilioni mwilini mwake na yupo tayari kumwaga anytime any place to any lady...ndio maana anaoa wake wengi

Usishindane nae Coz we huwezi utaumia
 
They say a man is polygamous by nature.

I say this. A man who truly respects you will protect you from the pain of heartbreak if you ever find out he is cheating.

And he will protect you from the woes of contracting sexually transmitted diseases and infections.
 
Hakuna mwanaume asie na mchepuko omba tu uweenjia kuu yake..!! Me binafsi siwezi kuwa kudate na Girl mmoja... SIWEZIII... Napenda girl mwenye makalioo sema Wengi nlokutana nao Wanapenda sanaa helaa aisee so huwa hatudumu ni wa kuzugia tu...
 
Mimi mwanamme nakujibu hivi.

Ndio inawezekana akawa anakupenda wewe lkn anasumbuka sababu tu ya tamaa. Namoyoni mwake unakuta niwewe tu .

Ila Mimi Sweetheart Wangu Kapeace wala siwezi kumcheat ,, mpaka anipe ruhusa yakuchepuka ndo nachepuka.
We wachepue tu lkn wakati huo uwe unanikumbukiapo mimi, japo najua hakuna wa kukupa raha km zangu
 
Sema tu shida akikuonesha kuwa ana michepuko afu hakueshimu...!! Mfano Mondi hakuwa na kosa kabisa maana ni uanaume ilaa kuchepuka mpaka zari akajua na ushahidi ndo tatzo..
 
Yani hyo kwa mwanaume ni kawaida sana dada,vumilia tu..maana trust me mwanaume atakayekupenda kwa dhati na kutulia na wewe lazima wewe ndo uje umzingue,
ndo mana wanaume hatutulii ni kutokana na nyinyi wenyewe
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Here are reasons as to why we cheat:
1. Men can't help it. They are natural hunter and propagators of the species
2. Men love variety. Men are a species that consistently seek new options as "maximizers." they enjoy the thrill of the
kill.
3. Men use sex to soothe their emotions and egos during challenging times.
4. Men feel that they can separate love from sex
5. Men think they can get away with it by controlling their emotions
 
Naomba na mm nkuulize, Hv unajua wanawake weng ndo huumizwa kwny mapenz!!! Kwa nn mwanaume asitongoze wengine ili kuwafariji na bado akiendelea kuwepo na ampendae
 
Kwa sisi wanaume ni jambo la Kawaida na ni nature ya Kila jnsia me kwa viumbe wote awe mbwa, nguruwe, kuku na Kila Aina ya kiumbe..
Miili ya wanaume inauhtaj mkubwa Sana wa ngono kuliko wanawake, unakuta mwanaume mmoja anauwezo wa kuish na wanawake watatu kwa siku kwa tamaa ya ngono tu lakn Mwanamke hawez na akifanya ni kwa tamaa ya pesa tu..
Ukiangalia ata mababu zetu wakristo kwa waislamu waliishi na wanawake zaid ya mmoja ..
Kimsingi na kiasili wanaume tunatamaaa ya ngono wanawake wanatamaaa ya Mali..
Muhimu kwa wanawake ni kuangalia heshima tu, kuthaminiwa na kutokushuhudia huo usaliti mengine unamuachia mwenyez mungu.. Ukiona umewekwa Ndani ujue unapendwa
 
... I think something has to be done we are tired of being the victims!

Just learn to accept the situation, hakuna wa kukuelewa, sana sana utabaki kuwa activist ilihali ukiwa single mum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom