wanaume ni majanga matupu

wanaume ni majanga matupu

We hamia tu, ndo uzungu huo. You move in together mkiona tabia zinaendana basi mnakwenda hatua ya mbele kidogo..
 
yani ndo hasira zote hzo na umeshawishiwa tu. Na ungekuwa ushakubali!!!
 
Nime kuwa na urafiki na wanaume wa TZ , Nigeria na Kenya na kwa uzoefu yao nimepata kuwa ni walaghai, waongo na wenye kiburi! Hawa watakuhaidi mbingu lakini ifikapo matendo wanapotea
Of all the people ukagota kwa mnigeria halafu ukategemee kutoa stori njema? Wee ni mgeni ndani ya ulimwengu huu?
 
Jamani,Latifa fanya mpango uende kwa huyo mpenzi kwani kumkubali tu alishakuwa mmeo,acha kutangatanga!
 
Wanawakwe bana ni pasua vichwa sana, ndo maana hata maandiko yanasema kaeni nao kwa akili. Wee mtu anakupa nafasi ya kuwa nae karibu badala ya kutumia kama opportunity ya kumassess mazuri na mabaya yake ili ujue mustakabali wa uhusiano wako naye unafikiria negatively. Kama ni wa kutokuoa uwe kwako au kwake kamwe hatokuoa. Ungejiweka karibu ingekusaidia kulitambua hilo mapema na kuchukua maamuzi mapema na kuokoa muda wako ili ukutane na wazungu wa unga wengine.
 
Kwa iyo unataka uendelee kukaa nae mbalimbali ili usiku uwe unaingiza mabwana wengine?!
Kwanini usiende kuishi nae mkasomana tabia na hata kwa masharti ya kutokulala kitanda kimoja?!
 
...yaaa nimeamini ili upate mke mwema lazima uwe mume mwema,na ukiwa product ya jf utapata mwenzi wa ki jf jf tu,jambo lenu wawili lazima lianzie jf....
 
Anatafuta house girl jichanganye tu uone
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?
 
hamia.....si ulishakatwa
 
Duh JF ni Hatareeeeeeeeeeeeeee,,,,,mrembo umeshabebwa humu humu?
 
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?
Usiongee kwa sauti yupo humu humu atakusikia na kukuacha.
 
Of all the people ukagota kwa mnigeria halafu ukategemee kutoa stori njema? Wee ni mgeni ndani ya ulimwengu huu?
mkuu sio yeye tu, wapo wengi tu, kuwa na mnigeria kwao ni kama fashion, wapo wengi wanaishi maisha ya kufuata mkumbo, wakishadanganyana kuwa wanigeria ndio issue mjini, basi wanapapatika kwa wanigeria utafikiri kuku aliyekatwa kichwa.
 
Mh...kumbe watu wana sababu nyingi za kuwa member humu...yani wanaume wameisha mitaani mpaka ushobokee wa nyuma ya keyboard ...mna risk nyie...ngoja mje muwa date matapeli na wauaji toka Nigeria

Nilitaka ninyuti tu, lkn kwa ujumbe huu wa member mwenzangu nawajibika kuchangia.Sina uhakika kama mwenzangu jinsia gani, lkn nalazimika kusema upo nyuma ya dunia,kupata mpz mtandao ni hakumaanishi kuwa yeye au ww ni wahuni. Labda nikuulize swali,utajisikiaje utapopata mpz kazini kwako au poppte tofauti na mtandaoni ( maana wa mtandaoni unawaona wahuni)halafu ukagundua ni mwenye tabia zile unazozitaka baadae ukaja gundua ni mfuasi mkubwa wa jamii forum? Je, utamuacha? Uhuni ni tabia ya mtu,wengine wapo humu kuelimika uhuni hawajui nini maana yake. Dunia kijiji ss hivi, una ongea na mtu wa Germany na wewe upo kijijini huko tena huku mnaonana. Hii ndio maana ya kusema dunia ni kama kijiji tu, badala ya kutongozana huku mnatafuna Nyasi tumerahisishiwa kuongea na watu wa upande mwingine kwa technology tu. Ipokee technology ya dunia kwa kukaa mbele yake ukiisubiri sio kukaa nyuma yake,(kwa uangalifu lkn) utaachwa.Uhuni ni tabia ya mtu si vinginevyo.
 
Umeona eeh!!!...Kwenye raha zao kimyaaa, wameshegegedana sijui migegedo mingapi bila hata kutuchapia kidogo sasa maji ya shingo ndio kaamua kushuka hapa, lakini si vibaya kumshauri asije akauvaa mkenge.

Wakati mnatongozana mbona hamtukushirikisha?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom