wanaume ni majanga matupu

wanaume ni majanga matupu

Unajua wadada mnanishangaza sana kwa hii mentality:A S 39:. kwani ndoa isipokuwepo si wote wawili kwenye mahusiano wameikosa? sasa iweje upande mmoja ujione umedhulumiwa, kama ni kuchezeana au kutumika wote mtakuwa mmetumika na mmechezeana. what makes you think you are being used, really I dont understand this species!!! :crying::crying::crying:
:help::help::help: me understand you.

kuchezewa na kupotezewa mda kunakuja tu pindi malengo yanapotofautiana, kama yakifanana hachezewi mtu so inadepend na walivyokubaliana kuachiev malengo yao.
mdada ana lengo la ndoa na sio maisha bila ndoa wile mkaka ana lengo la maisha even without mariage so lazima hapo mdada atakua kapotezewa mda kama ndoa haitakua achieved
 
Wanawakwe bana ni pasua vichwa sana, ndo maana hata maandiko yanasema kaeni nao kwa akili. Wee mtu anakupa nafasi ya kuwa nae karibu badala ya kutumia kama opportunity ya kumassess mazuri na mabaya yake ili ujue mustakabali wa uhusiano wako naye unafikiria negatively. Kama ni wa kutokuoa uwe kwako au kwake kamwe hatokuoa. Ungejiweka karibu ingekusaidia kulitambua hilo mapema na kuchukua maamuzi mapema na kuokoa muda wako ili ukutane na wazungu wa unga wengine.

kaka angu kama ishu ni kuaces kama m nakwiva or nt kuna posibility ya kuishi na kila boyfrend then mnatemana hadi kufikia kuolewa.
 
Nawashukuruni nyoote mliochangia mmenifungua akili sana kwakweli kuna mambo ambayo sikuwahi kuyatafakari nasasa nimejifunza kitu kwaenu nyoote mliochangia.
Japokuwa kalaumu kwanini nimeamua kuileta hapa jf kwa mimi sijaona ubaya maana ndipo tulipo fahamiana chamsingi sijamtaja jina lake kwahiyo respect yake humu haitaondoka itakua palepale.
Uamuzi niliouamua ni kwamba sitahamia kwakwe bila vigelegele hataki nitaendelea kumchuuunaa mpaka atakapokimbia mwenyewe, nina nyumbani kwangu iweje nihamie kwa boyfriend, kama kuonana tunaonana kila siku inahusu...?
 
koh koh

ngoja kwanza akishakulamba ndo akili itakukaa sawa.
 
Unaweza kuhamia na ndoa ikawepo, na unaweza usihamie na bado ndoa ukaishia kushangilia za wengine. Haya mambo hayana formula ambayo ndio na nyingine sio bila exceptions.

Pengine jamaa anataka wawe karibu ili amsome vizuri, ajue kama wataweza kuishi pamoja au la.

ya ya ya ya!!!!!!!!! salute kwako Lizzy darubini yako kali asiee!!!!
 
Hio sio mila na desturi zetu mtoto wa kike kuishi na mwanaume kabla ndoa,nakubali wengi wanaona ni jambo la kawaida lakini haimaanishi kwamba ni sawa!!Tabia watasomana tu taratibu hawana ulazima wa kuishi pamoja!!

kwanini isisomeke hivi "sio mila na desturi mtoto wa kike kugegedwa au wa kiume kugegeda (kwa watu wazima kugegedana) kabla ya ndoa" kwa dunia ya leo vijana wanatumiana kwanza then ndoa inategemea nani ana karata nzuri mkononi..
 
hivo pia ni sawa mkuu...
 
Nawashukuruni nyoote mliochangia mmenifungua akili sana kwakweli kuna mambo ambayo sikuwahi kuyatafakari nasasa nimejifunza kitu kwaenu nyoote mliochangia.
Japokuwa kalaumu kwanini nimeamua kuileta hapa jf kwa mimi sijaona ubaya maana ndipo tulipo fahamiana chamsingi sijamtaja jina lake kwahiyo respect yake humu haitaondoka itakua palepale.
Uamuzi niliouamua ni kwamba sitahamia kwakwe bila vigelegele hataki nitaendelea kumchuuunaa mpaka atakapokimbia mwenyewe, nina nyumbani kwangu iweje nihamie kwa boyfriend, kama kuonana tunaonana kila siku inahusu...?

Gemu unampa?
 
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?

sio wote dada ni wewe umeingia mkenge kwa hiyo usijumuiashe kuwa wanaume wote
 
Wewe hujajua jinsi gani criminals wanajua kutumia mitandao wewe...risk ni kubwa kwenye social media kuliko face to face...tatizo mimi nasoma sana matukio duniani...hivyo hata wanangu wakianza kutumia sijuhi facebook ntawaonya kabisa never to connect with strangers unless wawe ma superstar ambao wana international fans. Na wenyewe wanajua ku manage accounts zao

Mkuu, kumbuka:Hao wa mitaani ndio wanaokuja humu.Hawa wa humu ndio wanakwenda mitaani pia.Kwa kifupi watu ni walewale japo mazingira tofauti....
 
Kuwa member ni one thing..unaweza ku fall na mtu baadae ukaja jua ni member wa JF...hakuna shida...lakini wanaoshinda humu kutafuta wanaume au wanawake ni wakuogopa kama ukoma...chance is ni wana big number ya wanawake au wanaume...wana ka mchezo ka kutongoza hovyo hovyo

Hiyo si culture yetu ku date mitandaoni...kwa kuwa tuna physical socialization kwa nini tuige mkumbo wa watu ambao wametekwa na tecknolojia...(nilikuwa nasoma kitabu kimoja cha bowling alone...Italy huko wanafeel mitandao ilivyoharibu sense ya community; watu hata mpira wanacheza na computer) Ushindwe kupenda unaowaona daily utegemee utapata wa maana humu nyuma ya key board????

Nilitaka ninyuti tu, lkn kwa ujumbe huu wa member mwenzangu nawajibika kuchangia.Sina uhakika kama mwenzangu jinsia gani, lkn nalazimika kusema upo nyuma ya dunia,kupata mpz mtandao ni hakumaanishi kuwa yeye au ww ni wahuni. Labda nikuulize swali,utajisikiaje utapopata mpz kazini kwako au poppte tofauti na mtandaoni ( maana wa mtandaoni unawaona wahuni)halafu ukagundua ni mwenye tabia zile unazozitaka baadae ukaja gundua ni mfuasi mkubwa wa jamii forum? Je, utamuacha? Uhuni ni tabia ya mtu,wengine wapo humu kuelimika uhuni hawajui nini maana yake. Dunia kijiji ss hivi, una ongea na mtu wa Germany na wewe upo kijijini huko tena huku mnaonana. Hii ndio maana ya kusema dunia ni kama kijiji tu, badala ya kutongozana huku mnatafuna Nyasi tumerahisishiwa kuongea na watu wa upande mwingine kwa technology tu. Ipokee technology ya dunia kwa kukaa mbele yake ukiisubiri sio kukaa nyuma yake,(kwa uangalifu lkn) utaachwa.Uhuni ni tabia ya mtu si vinginevyo.
 
Wewe hujajua jinsi gani criminals wanajua kutumia mitandao wewe...risk ni kubwa kwenye social media kuliko face to face...tatizo mimi nasoma sana matukio duniani...hivyo hata wanangu wakianza kutumia sijuhi facebook ntawaonya kabisa never to connect with strangers unless wawe ma superstar ambao wana international fans. Na wenyewe wanajua ku manage accounts zao

Sawa mkuu, tuko pamoja.
 
Around 40s teh teh teh...huyo ni most likely divorcee (if she is lucky) au mke yuko masomoni...kama hajaoa basi ni mtu wa ku test kwa kuishi na wadada na kuwatimua .... anachagua sana...ngoja aingie mkenge

point of correction huyo around 40's sio kijana..mengine jiongeze mwenyewe
 
Back
Top Bottom