deni
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 255
- 191
Nawashukuruni nyoote mliochangia mmenifungua akili sana kwakweli kuna mambo ambayo sikuwahi kuyatafakari nasasa nimejifunza kitu kwaenu nyoote mliochangia.
Japokuwa kalaumu kwanini nimeamua kuileta hapa jf kwa mimi sijaona ubaya maana ndipo tulipo fahamiana chamsingi sijamtaja jina lake kwahiyo respect yake humu haitaondoka itakua palepale.
Uamuzi niliouamua ni kwamba sitahamia kwakwe bila vigelegele hataki nitaendelea kumchuuunaa mpaka atakapokimbia mwenyewe, nina nyumbani kwangu iweje nihamie kwa boyfriend, kama kuonana tunaonana kila siku inahusu...?
you are not wise at all...
hebu fikiria vzur jinsi atakavyojixikia akixoma haya maneno yako uliyoandika hapa....
i can see that you dont love him at all.