Mh...kumbe watu wana sababu nyingi za kuwa member humu...yani wanaume wameisha mitaani mpaka ushobokee wa nyuma ya keyboard ...mna risk nyie...ngoja mje muwa date matapeli na wauaji toka Nigeria
Mkuu, kumbuka:Hao wa mitaani ndio wanaokuja humu.Hawa wa humu ndio wanakwenda mitaani pia.Kwa kifupi watu ni walewale japo mazingira tofauti....