Wanaume ni kama wanyama’

Aisay wanaume kulia sana kama wanawake ni so gay....Kucheka mbona kila siku mimi na cheka, lakini nacheka kwa ku smile tu mana kucheka kama wanavyo cheka wanawake ni so gay pia.

Usisahau a little bit of crying is healthy for everyone....Yani hata mwanaume lazima alie lakini sio kama wanawake, mwanaume akilia kama wanawake I might wonder if he is gay.

Any way; That's a weird definition of wanaume ni kama wanyama kihisia.
 
imagesCAIOP272.jpg

imagesCA5T4QL3.jpg

Si mnaona tofauti ya mwanamke na mwanaume katika kulia.....................! LOL
 
acha hizo wewe..
lol...... haya ngoja nikupe ile ki2 roho ina penda.
wel wanaume wengii hawapendi kuexpress hisia zao especially za majonzi huwaga wanagugumia ndan kwa ndan.
by moyo mgumu sikumaanisha vibaya ni kwamba wanaweza kuhifadhi tatizo mioyon mwao au hata shida na kuumia kindan ndan bila hata kushare na m2 kinachomsibu.
ss huo sio moyo mgumu jaman?
 
Mwanangu, ngoja niende hapo kwa Mpemba nikakununulie Mkate Boflo wa kukupongeza kwa mchango wako mahiri,

Hahahaha!nashukuru baba,ila dah ungenifanyia kitu km mcmbaz hv kwa mpesa ingekua bora lunch kingeeleka,mkate saa hz baba!
 
Duh! Mwanamme? Machozi?
Very confusing kwangu.

Ila akilia mbele yangu, haijalishi sababu ntambeba mgongoni anyamaze.
 
Hajashikwa pabaya
Akishikwa pabaya analia kama kichanga
Ila huwa wanajaribu kujificha kadiri wawezavyo
Hasa kama ni head wa familia
Wanachofanya ni kuwa strong for the sake ya familia nzima

Unajua mkimuona baba yenu analia machozi
Familia nzima inataharuki?!
Hata kama ni msibani
lol...... haya ngoja nikupe ile ki2 roho ina penda.
wel wanaume wengii hawapendi kuexpress hisia zao especially za majonzi huwaga wanagugumia ndan kwa ndan.
by moyo mgumu sikumaanisha vibaya ni kwamba wanaweza kuhifadhi tatizo mioyon mwao au hata shida na kuumia kindan ndan bila hata kushare na m2 kinachomsibu.
ss huo sio moyo mgumu jaman?
 
Hisia ni jambo jingine ila suala la kulia ni baya sana,

Yaani kumuona baba yako analia ni kama laana...May be karibia na kuoneshwa utupu!!

Babu DC!!
 
hisia inategemea mim nishawah kuona mwanaume anamlilia mpenzi wake na machozi yanamtoka sasa sijui alikuwa anamdanyanga ili amsamehe au alikuwa anamaanisha, na mwingine ilikuwa kwenye kuaga marehem mwanaume mmoja alilia sana tena kwa sauti mpaka akashikiliwa, so nahisi hisia zao zatofautiana.
 
Kwa kweli watu tunatofauna mawazo sana duhhh..
nahisi ndo maana dunia ni sehemu ya kuvutia sana ..
 
Back
Top Bottom