Wanaume ni kama wanyama’

hisia inategemea mim nishawah kuona mwanaume anamlilia mpenzi wake na machozi yanamtoka sasa sijui alikuwa anamdanyanga ili amsamehe au alikuwa anamaanisha, na mwingine ilikuwa kwenye kuaga marehem mwanaume mmoja alilia sana tena kwa sauti mpaka akashikiliwa, so nahisi hisia zao zatofautiana.

Hilo la kulilia penzi mara nyingi huwa ni usanii!! Ni kama wanavyolia lia au kucheka cheka kwenye movies!!

Hao wanaolia sana kwenye misiba kiasi cha kuvuta attention ya watu ni wachache sana, na mara nyingi husabisha hali ya hewa kuchafuka. People don't want to see crying men!!

Hapa naamini hakuna unyanyapaa au unyanyasaji wa kijinsia....ni biology in action!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom