Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,868
kivipi mkuu?ulikuwa bado hujajitambua??
wanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
"Kutapata" hebu sahihisha hapa madam ulikuwa unamaanisha nnMaumbile ya mwanamke ukimwagiwa makinikia yenye maambukizi una nafasi kubwa wa kutapata
no sir am single sina partner i opted for mastubationYou are having sex, don't you?
makinikia ahahaaMaumbile ya mwanamke ukimwagiwa makinikia yenye maambukizi una nafasi kubwa wa kupata
Ila hapo bold kwenye wanaume hawapendi kutumia kinga...ni kweli ila na wanawake hawawezi ku-negotiate safer sex matokeo yake anakwenda kwa mwanaume alafu habebi zana za kazi yaani kila kitu anamwachia mwanamumewanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
dah mbona twatiana genye asubuh asbuh lakin kwan wanaume huwa tunafanya mikono yetu nn nawe si unakubaligiwanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
Mara papuchi yako hutoi mpaka uolewe... mara shetani akikuingilia unakubali... Hueleweki Misswanaume wanapenda ngono
wanaume hawapendi kutumia kinga,
pia hawapendi kucheki afya zao kabla ya tendo.
nawashauri wanawake tuwe makini sana .kama mtu hataki mkapimane achana nae .maisha yenyewe yashakuwa ya stress kwanini kujitafutia matatizo mengine?
inatokea shetani amekuingilia unamkubalia mtu mkienda hoteli unashangaa anataka kukuingilia hana hata kinga ukimuuliza vipi anasema bwana sisi wazima usipokuwa mkali ndo imetoka hivo yaani.
kwa wale ambao tushasalimika basi tujirekebishe kama huwezi kuacha ngono kabisa kama kina sisi basi chukua hatua cha kucheza salama
siku njema wadau sitaki ugomvi tena mi mtu mzima
kweli kabisa mkuu . ila starehe ya sekunde ileKuhongwa hakujawahi kumuacha Mtu salama,Mkihongwa mnasahau hata kuna kupima
Sent using Jamii Forums mobile app
umesema hutaki ugomvi tena na mtu we ni mtu mzima as if kila siku unagombana na watukivipi mkuu?