Wanaume na vituko vyao.

mwanaume huyo huyo akiwa na pesa wanawake wanajipanga kama magari kwenye traffic light...hahaha
mwanaume huyo huyo anawafanya mjifanyie plastic surgery na botox kibao!...

Yani unaona mlivyo navituko mpaka mnafanya waschana wasiele.
 
ivi kama mngebaki wanawake wenyewe hapa duniani, mngekuwa mnatembea uchi? hayo manywele ya wafu mngekuwa mnavaa? suruali za kubana mngemvalia nani?
Lakini jibu lipo, waangalie wanapoenda kwenye vicheni party, wanavaa vizuri, lakini wakienda kwenye mikusanyiko mingine ambapo wanaume wapo waone nguo zao! kama hawajitambui hawa watu, ona wanavyochezeshwa uchi kwenye makumbi ya starehe huku wanaume wamevaa vizuri,
kweli Mungu alimuumba mwanaume kwa mfano wake na kumfotokopy mwanamke toka kwa mwanaume .

Nadhani ingekua hakuna kulia duniani. Japo mnasema No woman no Cry hapo hua mnatafuta kisingizio tu.
 
nafikiri hakuna asiye na vituko dunia ya leo wanaume/wanawake wote vituko nachokiona tumeishia kuangalia zaidi vituko kuliko kutafuta suluhisho.
ukiona kituko cha mwanaume nyuma kuna mwanamke/ sawa na upande wa pili kituko cha mwanamke nyuma kuna mwanaume .


Unaonaje ukibadili hiyo ID yako iendane na maneno mazuri uliyenena hapa.
 
ha ha hahaaaa lol....
basi basi mtulize huyo alioko kichwan nisije kukulia halafu baadae... mi nakutaka bado... we wape ukweli tuu maana ukweli huwa wauma kuliko ngumi:shock:..
Nakwambia Nilham, ningekua karibu kituko cha mangumi kingenihusu haaa haaa.
 
Back
Top Bottom