Wanaume na vituko vyao.

Yaani huyu kiumbe halafu wengine ni washabiki wakubwa wa jf sijui kwa nini huyu kiumbe habadiliki mbaya zaidi they are always right,lini wamesema wamekosea?hivyo vituko hapo 70% ndo kiumbe nilichonacho nacho!kiumbe kisichochukulila na Kiki comment hapa namuumbua!tunawaita wAnaume suruale!!!
 
Nasikia wanaume wote ni kama watoto wa tumbo moja yaani wanafanana tabia.
 
Wanaume hao ndio waganga wa kienyeji,ambao wateja wao wakubwa ni wanawake,wanaotafuta dawa za kuwaroga wanaume
 
na niwanaume haohao wanaowasabababisha kutembea uchi, kupiga jeki maziwa, kutafuna madawa ya kichina, kuzama saluni kila siku na hata kunengua majukwaani, maana sina uhakika kama wanaume wakigoma kwenda twanga na akudo kama hao mademu wanenguaji watalamba mkate wao.
Na ili kujua wanaume ndo wamewashikia akili, hata kitchen party zenu huwa mnaenda kufundishana jinsi ya kumuhudumia mwanaume.
 
cha msingi ni kuheshimiana na kutanguliza upendo mbele,mpende mwenzio na yeye akupende,wewe ni mke wa mtu kwa nini mtu akutake na wewe unakubali?wewe ni mume wa mtu kwanini umtake mke wa mwenzio? au kwanini utongoze wasichana wadogo?wewe ni msichana, mume wa mtu anakutaka kwanini umkubalie wakati unajua ana mke? tukiwa na upendo kwa wenzetu na kuondoa ubinafsi naamini kabisa haya mambo yataisha,
 
Kumbe unasikia!! No reseach no right to speak! Do you got me!

we wa wapi?
Kwani huoni watu wakiandika habari ambayo haina uakika wanaanza na tetesi.
Acha makeke halafu rekebisha hiyo lugha ya watu.
 
na niwanaume haohao wanaowasabababisha kutembea uchi, kupiga jeki maziwa, kutafuna madawa ya kichina, kuzama saluni kila siku na hata kunengua majukwaani, maana sina uhakika kama wanaume wakigoma kwenda twanga na akudo kama hao mademu wanenguaji watalamba mkate wao.
Na ili kujua wanaume ndo wamewashikia akili, hata kitchen party zenu huwa mnaenda kufundishana jinsi ya kumuhudumia mwanaume.

Asante sana kwa kuongezea vituko vyenu.
 
Sasa jamani wanawake ndio hawana vituko? Halafu wanaume wanafanya hivyo vituko na kina nani?
 
Back
Top Bottom