Wanaume na ndoa!

sawa.. sasa kwa hii couple je huyu mwanaume anaweza kuwa anakwepa nn sasa, maana kama ni matunzo kweli mkewe hakosi kitu wanashirikiana vizuri kiasi kwamba ni wachache wanaojua hawana ndoa na hata kazini mwanaume amemwandikisha mkewe na wana affidavity ambayo mume alipotakiwa cheti cha ndoa alidanganya kazini kuwa kimepotea so wakaenda mahakamani kuomba affidavity. shida ni kwa nn hataki ndoa na mwanamke imani yake ya dini inamsuta hana ndoa!

Na huyo mwanamke alikuwa wapi hadi wakakaa miaka 10? Kimetokea nini anaanza kudai ndoa leo wakati muda wote labda alikuwa kimya tu? Lazima ampe mumewe sababu za msingi kwa nini adai ndoa leo na siyo miaka 9 iliyopita!

mom tatizo sio kukosekana kwa ushauri ...........washauri wapo, na ndio hao wanaowapeleka vibaya

wasichana/wanawake wa kitanzania tunapenda kuiga au kushindana na wenzetu. hakuna anaeweza kusimamia kile anachokiamini yeye binafsi.
madhali fulani anatoa tigo na mwanamme hajamkimbia na mie nitafanya..............madhali fulani anaishi na mwanamme anahudumiwa na mie acha nijaribu....

hilo ndo linaloturudisha nyuma.......................kujiamini hakuna...

Huko kufuata mkumbo ndo tatizo. Ukweli ni kuwa wanaume wengi hawapendi kabisa. Binafsi nina allergy na tibia za hovyo hovyo kama hizo. We are unique and our life is independent. We don't care what others think about us or do for themselves.

nafikiri huyo mwanamme anaona ameshakaa nae miaka kumi anatoa huduma zote haoni MANTIKI ya ndoa.

mwanamke yeye imani tu inamsuta, mwanamme yaonyesha hana imani hiyo...........kwa nini aoe wakati kimsingi yuko kwenye ndoa tayari kivitendo?!
Hapo sasa. Imani inamsuta mwanamke baada ya miaka 10. Nadhani kuna pressure ya shoga zake hapo. Vinginevyo hiyo tactic delay ataielezeaje?

Ni kwa vile wanakuwa wanajaribu kama kweli huyo mtu atakuwa kama atakavyo au sivyo.Wanapenda kuwa na uhuru zaidi wa kumwacha mwanamke pale atakapotokea ambaye wanahisi ana vigezo zaidi.Sasa akiwahi kujifunga mapema itakuwa ngumu kwake kutoka.

Siyo rahisi kumwacha mwanamke uliyeishi naye miaka 10 na kuzaa naye watoto 4 hata kama hukumpenda. After all, wanaume huwa hawapendi bali wanajali zaidi huduma wanayopata na kufuata mazoea!

how?....wacwac lazima uwepo coz jamaa anaweza kuhalalisha kwa mwingine na pingamizi lako halitachukuliwa serious ki vile kama ungekuwa na ndoa.
Hapa itabidi tupate msaada wa wale watu wnaotumia lugha wanayoijua wao wenyewe. bht will be the best host for us! Ngoja aje atueleze kiufasaha kama huyo baba bado yuko single kiasi cha kupakia na kupakua mzigo kwenye gari lake wakati wowote anapotaka!
 
mi nashauri wanaume wote ambao HAWAJAOA wasioe wala nini!.....

ni kujizeesha tu.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Makubwa haya! sijategemea maneno haya yatoke kwako.Say you are just kidding,right???!!!!
 
mi nashauri wanaume wote ambao HAWAJAOA wasioe wala nini!.....

ni kujizeesha tu.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Inawezekana kuna ukweli ndani yake! Askofu njoo upesi utusaidie!
 
mimi nina pendekezo maalum,actually nitakuja na thread yake siku moja nikiwa na mood nzuri....

NADHANI KABLA YA WATU KUFANYA MAAMUZI MAZITO YA KUOA WAFANYE MITIHANI YA N.E.C.TA...

mitihani itungwe cambridge labda:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

tatizo italiki sasa
 
mi nashauri wanaume wote ambao HAWAJAOA wasioe wala nini!.....

ni kujizeesha tu.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Hebu tuhakikishie bila kuacha shaka lolote kama huo siyo ujanja wa kukwepa michango? Kumbuka Shy keshatangaza nia!!
 
mhh kazi ipo, huyu wanamke ameshamuhoji huyo mr wake hayo maswali yote? na anaambulia majibu gani?....

majibu yake ni very simple, kwani hatuna ndoa? na umri huu bado unafikiri nitaenda kuoa wapi? na siku yuko vibaya atajibu tufanye mwezi wa tisa! na hiyo ni kwa kila mwaka sasa
 
mkuu, tafadhali fafanua hapo kwenye red.
Hata ukifumaniwa au fumania huruhusiwi kutoka? How and why

Unatakiwa umsamehe mwenzako 7 mara 70.. Ukikutwa wewe, yeye nae anatakiwa akusamehe vilevile! Kikristo ni dhambi kuvunja ndoa, kwani ukioa tena utakuwa UNAZINI baada ya kumwacha mkeo na yeye vile vile.
 
Na huyo mwanamke alikuwa wapi hadi wakakaa miaka 10? Kimetokea nini anaanza kudai ndoa leo wakati muda wote labda alikuwa kimya tu? Lazima ampe mumewe sababu za msingi kwa nini adai ndoa leo na siyo miaka 9 iliyopita!

Hapo sasa. Imani inamsuta mwanamke baada ya miaka 10. Nadhani kuna pressure ya shoga zake hapo. Vinginevyo hiyo tactic delay ataielezeaje?

Siyo rahisi kumwacha mwanamke uliyeishi naye miaka 10 na kuzaa naye watoto 4 hata kama hukumpenda. After all, wanaume huwa hawapendi bali wanajali zaidi huduma wanayopata na kufuata mazoea!

si kwamba hiyo miaka 10 alikua kimya la! aliongea kuhusu ndoa na hata ndugu wakasaidia na mwisho wakamwachia mwenyewe aongee na mwezi wake na ndio hivyo miaka inazidi kusonga mbele na majukumu yanazidi kuongezeka!
 
Hebu tuhakikishie bila kuacha shaka lolote kama huo siyo ujanja wa kukwepa michango? Kumbuka Shy keshatangaza nia!!
HEHEHEHE!
tatizo hawa watu ukishaweka mambo vizuri ukambeba jumla jumla WANAOTA SANA MAPEMBE!
except my marriage!my marriage is f-u-c-k-i-n-g perfect!....
 
majibu yake ni very simple, kwani hatuna ndoa? na umri huu bado unafikiri nitaenda kuoa wapi? na siku yuko vibaya atajibu tufanye mwezi wa tisa! na hiyo ni kwa kila mwaka sasa

kwani huyu baba anafikiria ndoa ni mpaka vigelegele...c waende church wao wenyewe na wacmamizi wao wamalize mambo waje watulie home....ahaaa kuna vitu cmlpe lakini vinafanywa vionekane vigumu kwenye lyfe.
 
si kwamba hiyo miaka 10 alikua kimya la! aliongea kuhusu ndoa na hata ndugu wakasaidia na mwisho wakamwachia mwenyewe aongee na mwezi wake na ndio hivyo miaka inazidi kusonga mbele na majukumu yanazidi kuongezeka!

huyu mwanamke akiona vipi arudi kundini mwenyewe...
 
HEHEHEHE!
tatizo hawa watu ukishaweka mambo vizuri ukambeba jumla jumla WANAOTA SANA MAPEMBE!
except my marriage!my marriage is f-u-c-k-i-n-g perfect!.
...

haya teamo mtunze vizuri ukiona pembe zinatokea zikate mapema!
 
HEHEHEHE!
tatizo hawa watu ukishaweka mambo vizuri ukambeba jumla jumla WANAOTA SANA MAPEMBE!
except my marriage!my marriage is f-u-c-k-i-n-g perfect!....

Tatizo la wanaume ni NEGATIVE THINKING.Mtu anaingia kwenye ndoa na mawazo kibao......mara mke wangu akimegwa itakuwaje....au atakuwa na kiburi..... Akizeeka je?
Haya yote yanatoka wapi?Kwa nini msiwze mema kwa wake zenu?
 
huyu mwanamke akiona vipi arudi kundini mwenyewe...

atawezaje mwenyewe? au unamaanisha waachane nyamayao? ila ni ngumu sana kumwacha mtu unampenda, mzazi mwenzio na zaidi ya kukataa kwenda mbele kusema "i do" hajakukosea kitu na anakujali na kukuonyesha upendo wa kweli, shida ni hiyo ndoa tu!
 
Tatizo la wanaume ni NEGATIVE THINKING.Mtu anaingia kwenye ndoa na mawazo kibao......mara mke wangu akimegwa itakuwaje....au atakuwa na kiburi..... Akizeeka je?
Haya yote yanatoka wapi?Kwa nini msiwze mema kwa wake zenu?

Hayo mawili ndio cancer inayotesa wanaume! Kama ingepatikana dawa ya kuyamaliza wanaume wangeishi kwa amani milele, AMINA!
 
Tatizo la wanaume ni NEGATIVE THINKING.Mtu anaingia kwenye ndoa na mawazo kibao......mara mke wangu akimegwa itakuwaje....au atakuwa na kiburi..... Akizeeka je?
Haya yote yanatoka wapi?Kwa nini msiwze mema kwa wake zenu?
watu wanawaza hivyo kwasababu WANAWAJUA SANA WAKE ZAO,WANAJUA MAZINGIRA WALIYOKUTANA AT FIRST!kwa mfano mimi nilikutana na waifu kanisani wakati tunakomunika....unadhani nitafikiria uwezekano wa waifu kwenda jolly?...

kwa hiyo mama-la-charity haya mambo hayako straight ki-hivyo....!kuna combinations of factors zinazompelekea mtu kufikiria otherwise.\

binafsi sitawalaumu wanaume kufikiria hivyo kwasababu NINAONA MAMBO MENGI SANA KWENYE NDOA ZA MARAFIKI/WASHKAJI/MAJIRANI/NDUGU n.k
 
atawezaje mwenyewe? au unamaanisha waachane nyamayao? ila ni ngumu sana kumwacha mtu unampenda, mzazi mwenzio na zaidi ya kukataa kwenda mbele kusema "i do" hajakukosea kitu na anakujali na kukuonyesha upendo wa kweli, shida ni hiyo ndoa tu!

Mama hebu mshauri huyo mwanamke aache kuumiza kichwa chake. Kwani hawezi kutulia na kukubali kwamba yuko kwenye fungu la kukosa? Kwani kama hakuchi si unafungua mlango unaendelea na safari? Akiendelea kulazimisha hata hizo ahadi za mwezi wa 9 ambazo amekuwa akipewa hatapata na badala yake ataanza kupewa chai (zamani tuliambiwa kuchapwa vipoko ni kupata chai). Best wishes for her new life baada ya kukubali kipigo cha 3 - 0!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom