Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Mkiingia ndani ya ndoa unyenyekevu wote unaisha, mwanaume anahitaji kujiridhisha kwamba sasa yupo tayari kumtunza mwanamke, kutunza family na majukumu mengine ya ndoa. kwa miaka ya sasa wanaume wengi hupenda kujikamilisha kielimu, kifedha wengine haoi mpaka apate degree, masters kwa sababu nyie wanawake wa sikuhizi mnapenda sana raha na starehe, usipokuwa na kazi nzuri tabu, huna gari dharau utazipata, wenye magari watasifiwa kila siku. nakumbuka rafiki ya bro wangu alikuwa na wife wake wa ukweli mno acha tu, bro akanunua chaser mayai miaka ya 98-99, bro alikuwa bd hajaoa, wife wa jamaa alikuwa haishi kumtaja bro na alikuwa akija hm kuazima gari, yule rafiki wa bro alipoona hivyo akaamua kuiba kazini kwao, na yeye akanunua corrola lkn mwaka mmoja baadaye jamaa akasimamishwa kazi, kesi ikachukua mwaka mzima jamaa akatemwa job, hivi vitu ndo vinatufanya tuwapige kalenda, ili kesho na keshokutwa usianze kunigeuka tena. na nyie muache kulazimisha acha mtu ajiandae
Mkuu, inawezekana kuna ukweli hapo. Kuna mtu aliwahi kunambia kuwa, "the best husband is the one who can make more money than his wife can spend".