Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,856
Last edited by a moderator:
Kaizer nitakuja leo........niandalia share zangu kabisahehehe Heaven on earth...we njoo kule....
Hapo sasa ndipo atakapoilaumu serikali vizuri. Wanawezaje kuwekeza kwenye gesi Mtwara washindwe kuwekeza japo kituo kimoja cha mafuta (Filling Station) japo moja ya kujaza mafuta bure kwa wazee!!!Kwanza aajiri dereva, pili anunue wese + foleni za dar, tatu kuna service na maintanance costs nyinginezo kama ulinzi, hujaweka Insurance, Road license nk, nk, nk.....from there tuje kwenye faida sasa.
Huu mjadala unanikumbusha mjadala wa kuwa na nyumba au gari kianze kipi...baadhi hapa naona tumeshaanza au bado tunawaza kuwa na gari na huna nyumba tayari unaelekea kuwa kama Gurumo....Gurumo ana nyumba analia umaskini na anadhani kiwa anahitaji gari
It goes down kwa mtu mwenyewe na priorities zake...sikubaliani naye pia.anavyoilaumu serikali...kama alivosema The Boss ni kwamba alikuwa na fursa nyingi hakuzitumia..au labda ndo alijenga na ndio alikoishia hapo....ila kwa mwanamuziki wa calibre yake angeweza kwenda mbali zaidi.
Kaka kwa kipato alichokuwa akikipata huyo mzee asiwadanganye kwamba yeye ni maskini. Hela yake amejengea majumba na kuwanufaisha videnishi ambao sasa hivi ni wakinamama mamilionea tunaowaona mitaani na maisha mazuri hata kumkumbuka hawamkumbuki tena.Mara ya kwanza niliposikia Mzee Gurumo wa Msondo Ngoma anadai ameimba zaidi ya miaka 50 na maisha yake bado ya 'kimaskini mno' niliona kuna kitu hakiko sawa... sikuwa na ushahidi tu lakini nilikuwa na uhakika kwa vyovyote vile 'atakuwa alichezea maisha ujanani'
Sasa jana walioona akifanyiwa interview na Salama kipindi cha MKASI watakubaliana na mimi huyu Mzee na wengine wengi tunaosikia
wakihojiwa na vyombo vya habari ..wakilaumu serikali kwa kutowajali. Wengi wao walipata 'golden opportunities' za kuwa na maisha bora lakini 'walichezea pesa' na 'opportunities hizo' so many times...
Mfano: Mzee Gurumo jana alisema alilipwa 'elfu ishirini' mwaka 1978 ili kuhamia bendi ya Sikinde...kumbuka kuwa Mshahara wa Rias mwinyi mwaka 1992 ulikuwa 'elfu ishirini na saba tu' sasa pata picha huyu mzee alikuwa na pesa kiasi gani? Na mshahara wake ulikuwa 'shilingi elfu tatu' mwaka hu0 1978... wakati kima cha chini mpaka mwaka 1987 kilikuwa hakijafika 'shilingi elfu saba'
Kuna Mzee mwingine alitunga kitabu riwaya 'Simu ya Kifo' alilipwa 'elfu kumi na mbili ' miaka hiyo nyumba Kariakoo zinauzwa shilingi 'mia nne' na alikufa bila nyumba wala kibanda..
Orodha ni ndefu...na wapo wengine Baba zetu, Wajomba, babu na kadhalika ukiwaona uzeeni wanavyolalamika na kuomba wasaidiwe.... utasema hawakupata chochote ujanani kumbe anasa, starehe na kuhonga wanawake ndo sababu....
Ukweli ni kwamba watu 'huchezea maisha mno' halafu uzeeni hutafuta wa kumpa lawama mara watoto, mara serikali na kadhalika....
Huyu Mzee Gurumo alikuwa sio mtu wa kupewa gari na Diamond... angekuwa na magari na majumba tele ya kuwarithisha watoto na wajukuu...
Kwanza aajiri dereva, pili anunue wese + foleni za dar, tatu kuna service na maintanance costs nyinginezo kama ulinzi, hujaweka Insurance, Road license nk, nk, nk.....from there tuje kwenye faida sasa.
Si bora ya hao vijana wanaokopa wanunue magari kuliko huyo wa kupewa gari la bure uzeeni.Jamani, tunawasema wazee wetu lakini na sisi vijana wa sasa hebu tujiangalie upya life styles zetu jinsi zilivyo. Wangapi wanawekeza kwenye nyumba na ardhi?
Wengi sana utakuta akianza kazi na kuwa na kipato;
i) Anakopa benki ili anunue gari na fenicha.
ii) Nyumba ya kupanga ya mpaka shs laki 6 kwa mwezi
iii) Simu, mavazi, vipodozi, saa na accessories zingine ndio usiseme
iv) Kusiwe na uzinduzi sijui wa Diamond au Twanga lazima ahudhurie...Asipohudhuria anaoneka yeye si wa mjini
v) Parties na viwanja ndio usiseme......!!
Hayo yote ni symbol ya kwamba ''mambo yako yako safi hapa mjini''.....Lakizi yote hayo ni matumizi makubwa na yanayozidi kipato chako. We have start living within our own means!
Sijui hata kama litapitisha mwaka kabla ya kuingizwa sokoni, ngoja nizengee zengee kabisa nichukue hilo gari maana halitakuwa na mileage kubwa, si unajua ishu ya wese lazima itamsumbua tu.kuwa na gari starehe lakini gharama.....sasa kama maisha yake ndio hivyo atawezaje kulihudumia na gari lenyewe haliingizi kipato chochote usishangae baada ya muda linageuka nyumba ya panya
Ndio maana nimesema "anadhani kuwa anahitaji gari"....kwa hali ilivyo yuko desparate tayari......na sio vibaya kama itamsaidia kumpeleka kwenye matibabu in a more comfortable way kuliko angepanda boda boda au? Fun cargo should be comfortable...sijui anaweza kuendesha? lol
Nothing to add but 100% truly.10 GREAT RULES THAT WILL HELP YOU REMAIN POOR ALL YOUR LIFE
1. Never wake up early: Keep stretching and turning in bed until you get too
hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up?
2. Never plan how to spend your money: Whenever you get money, start
spending it right away and when it is finished, try to count and recall how
you spent it.
3. Don't think of savin...g until you have real big money: How can you save
when you earn so little? Those telling you to save are not sympathetic to
your burning needs.
4. Don't engage in activities usually reserved for the 'uneducated': How can
you, a graduate, engage in petty trade or home- based production? That is
for people who never went to school.
5. Don't think of starting a business until an angel comes from heaven and
gives you capital: How do they expect you to invest before you get millions
of shillings? Even though more than half the businesses in your town were
started with a few hundred shillings, you as a smart person can only start
with millions.
6. Complain about everything except your own attitude: Blame the system,
the government and the banks that refuse to lend you money. They are all
bad and do not want you to get rich.
7. Spend more than you earn: To achieve this, buy consumer products in
credit and keep borrowing from friends and employer.
8. Compete in dressing: Make sure you wear the latest clothes among all the
workers in your office. Whenever your neighbour buys a new phone, get
one that is more expensive.
9. Get yourself a nice second- hand car that costs more than three times
your gross yearly pay: That will surely keep you in debt long enough to
hinder the implementation of any bad plans that could make you
accumulate capital.
10. Give your children everything they ask for since you are such a loving
parent: They should not struggle for anything because you do not want them
to suffer. That way, they will grow up lazy and hence poor enough to ensure
they cannot help you in your old age.
mada imenikumbusha mbali sana
mtu anafuja mali zake atakavyo kwenye uzee anataka afanyiwe kila kitu utafikiri wakati anazo alikutambua
kusomesha kwa taabu hata chakula na malazi ilikuwa taabu sio kwamba hana anaona wapo wa muhimu kuwahudumia anapostaafu anarudi kwa mwanzo na kuamrisha apewe hela za kwenda bar/anasa kutengeneza jina kama livyokuwa mwanzo...inabidi kusaidia kwa vile ni mzazi wako lakini inakera sana
na hii ipo kwa baadhi ya vijana wengi kuishi kwa kuiga kuendekeza starehe mfukoni hana kitu anaishi kwa kukopa mwisho wa siku kilio serikali inawasahau vijana
aisee naomba ulitilie maanani kabisa kabisa, maisha gani hayo unaishi? hata kama hutokuja kuishi kwenye hiyo nyumba lakini unayo na utajua utafanyia nini, upangishe ufanyaje ni yako aise,au sisi tuliokuzwa kwa hasira za mzazi mmoja kututelekeza na mmoja kuhangaika na sisi mpaka unatamani ukatize masomo kwamba unamuumiza sana ndio tuna usongo sana na haya maisha? mie huo mkopo wangu wa kwanza nilienda kukarabati nyumba ya mama nyamayao, nyingine nikawekeza ninavyoweza, naweza kukwambia sikuunywea hata fanta, niliamini hizo fanta zipo tu na ntakuja kuzinywa nitakavyo, sasa hivi sizungumzii fanta nazungumzia ballantin, wewe wewe! au ndio za kimjini mjini "kujenga kitu gani" asikwambie mtu hakuna anaetamani maisha yake yote yaishie kwenye vinyumba vya kupanga, na ufanye sasa hivi mana ukishaingia kwenye kuanzisha familia mambo ni mengi sana, jipange kwa sasa kwa popote utakapofikia sawa tu ili mradi usichana haujapita kwa vipodozi na malecwig.
Hili la kukopa kununua magari kuna mmoja alikula mzinga wa haja na gari alilolimiki kwa miezi 3 tu bima yenyewe 3rd party kiasi kwamba akatumikia mkopo huku akienda kwa supu kwa ofisi.
Kuna kitu nimegundua, unapopata shida basi kama una akili inakusaidia kupanda kwenda kwenye level nyingine; mimi nyumba huku niliko sikuwa na mpango kabisa, lkn nilijenga kwa kauli ya mwenye nyumba wangu "jenga ya kwako", nikamwambia nakaa miezi 6 tu na nitaondoka; na kweli nilianza jenga kama sina akili nzuri nikahamia kwangu baada ya miezi 7, finishing nafanyia nikiwa ndani.
Shule nilienda kuongeza baada ya bosi kunitimua; so kuna watu ambao tunahitaji a little push ili kufanya mambo ya maana so mateso au manyanyaso mimi nayafurahia, maana kuwa kwenye confortable zone kunapumbaza kwa kiasi cha kutosha tu.
yaani unasaidia kwa shingo upande kisa "ni mzazi wako", mzazi ambae hakujua jukumu lake kwako? mie leo hii nikiamua kumpa chochote mzee wangu nitakuwa kama najitolea tu na ni mpaka niamue, sitoi jasho langu kwa masikitiko/mawazo kabisa.
kwa huruma ya Mungu unampa vile vitu muhimu chakula, mavazi na wakati mwengine matibabu akija na hoja ya kuomba hela kwenda kupiga soga na wazee wenzake kijiweni namtimua mbaya kabisa.....besti inakera sana unapokumbuka mambo aliyoyafanya halafu sasa hivi anakuona wa maana ...wakati mwingine anaomba hela kwenda kumpeleka mkewe hosp aliyetumbua naye fedha zote tena mwanamke bila haya anamwambia nenda kwa wanao wakupatie hela maisha mengine bana karaha sana..........twapasa kutengeneza maisha yatu ya baadae mapema bila kuangalia nani atakujakusaidia bila kufanya hivyo unakuja kuwa mzigo kama hawa tunaowasema leo
kila mtu na roho yake kwa kweli, kuna kipindi nilikuwa na mawasiliano kidogo na mzee wakati huo ananibembeleza tuyamalize, alikuwa ananitumia mimi coz sister wangu hataki kumsikia kabisa, akaanza mizinga, sijui leo hivi kesho vile, nikawa namtumia kama vile nimetoa sadaka tu, nikaona anaanza mazoea kitu kidogo "mama mambo yangu sio mazuri naomba niwezeshe" nikaona khaa mie sasa hivi ndio mama? ndio anaona umuhimu wangu kwasasa, nikampiga ban, atume msg weee sijibu, apigeee weee sipokei, alikuwa wapi enzi mama yangu akiteseka na sisi? alikuwa wapi? alikuwa mwanajeshi, kuna siku akapita kuelekea monduli akampitia mama kwake, mama alikuja kutuambia baba yenu anashangaa ninavyoishi, eti anamuuliza mbona huzeeki, nikamwambia uzeeke wakati unatunzwa na uliowatunza wakati huo na kwa kujinyima kweli kweli? yeye alikuwa wapi? best maisha haya mie sina huruma na mjinga mjinga aisee.
omba uishi uone mengi best naona mambo yanafanana sana lol mie mdogo wangu hata salamu hatoi nimembembeleza amekataa anasema kila akikumbuka mzee alichofanya hataki hata kutamka jina lake na mwiko huwa amwiti baba kila mtu ana roho yake na namna ya kusamehe hahahahahah umenichekesha anapomtamani bi mkubwa anakula matunda ya mema Mungu aliyomjalia kutessa kwa zamu yeye alitamba wakati ule sasa zamu ya bi mkubwa