Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ndo maana rafiki ngoja tuwakamue tu hawa wasukuma, mpaka future ya watoto wetu ieleweke.kwa kweli umenivunja mbavu, mie sijawahi kuona mama anaeweza kufanya upuuzi na maisha ya watoto wake aisee, huyo mama atakuwa sio mzima, lakini hawa baba zetu hawa, ni hatari.
he he heee, kuna wababa yaani mpaka raha....halafu ninavyoona msukuma alivyo kwa wanae, nazidi kumchukia mzee wangu, ameshaombaa weee tumfate/yaishe lakini wapi, mie namwambiaga yameisha habari za kuja kutujua uzeeni haikubaliki aisee.
ndo maana rafiki ngoja tuwakamue tu hawa wasukuma, mpaka future ya watoto wetu ieleweke.
si unaona wamama wanavyojazanaga kwenye kutafuta shule nzuri za watoto wao? unadhani nani anatoa ada? baba.
Mambo ya baadae kumfanya mbwa wa kizungu wakati hakushiriki kutengeneza future za hao wazungu hakuna
hilo ndo jambo la maana my dear, tuwaombee tuMUNGU wetu atuhurumie sana, hasa ukiwa na mume --------!!
he he heee, kuna wababa yaani mpaka raha....
busy sana na watoto wao. wanafurahisha.
huyu baba wa kutaka kujuana wakati kila mtu anajitegemea, hapana jamani.
umejileta na nimekujua kuwa wewe ni babangu, inatosha. kila mtu achukue time yake
ni kweli rafiki.....hawa wa kisasa nadhani wengi wao wameshajua madhara ya kutolea kwa kueleweka, mie kama msukuma humwambii kitu juu ya ishu za wanae, na ndugu jamaa na marafiki wanaonizunguka naona waume wao wanajituma sana kwa watoto wao, inapendeza sana! mengineyo ni mapungufu ya kawaida tu.
mwenzenu anamwonea huruma zilipendwa wake, lol! chezeya lavu wewe.....sasa tukimwambia mama nyamayao hivyo anatuuliza sie tuna roho gani, mbona nyie wa ajabu sana, yule ni baba yenu eti, blah blah kibao tena afadhali mie naweza kumsikiliza hiyo topic hata kwa dk moja huyo dada yangu anamwambiaga sijafata stori za mwanaume aliekutelekeza hapa, hahaha
At least as far as our community is concerned, owning a car is an outward manifestation of mambo safi...which holds true in many aspects...na ndiyo sababu hata yeye analalamika kuwa Hana gari!
Vizazi vya siku hizi hatuna huruma.mwenzenu anamwonea huruma zilipendwa wake, lol! chezeya lavu wewe.....
ila wamama sijui wana huruma hivi kwa nini?
sometimes nashangaa. labda na sisi tukiwa wazee tutakuwa hivyo
ha haaa, ndo maana wababa wanajituma sana siku hizi maana wanajua hatutawahurumia, lol!Vizazi vya siku hizi hatuna huruma.
My dad alikuwa yeye na his dear bottle, imagine miaka 5 ya ndoa alikuwa akipata mshahara anamkabidhi mama, na mama anampa za matumizi binafsi; lakini later in the years mama alikuwa ni wa kumsachi suruali kila akija mbwi ndipo aongezee kwa mahitaji.
The Boss , kuna wazee wengine hawashauriki, mimi mwenyewe baba yangu alikuwa hivyo, na ni mtu wa East Africa, alistaafu na mamilioni ya pesa , lakini hakuwa na hata kibanda, sana sana alienda kuoa mke mpya akamdaharau mama yetu,Uzuri mama yetu naye alikuwa anafanya kazi na ana nyumba 5 hapa mjini, yeye aliondoka na pesa zilipoisha akarudi home, so mtu kama huyo mnamfanya kama mbwa wa kizungu anakula bure, analala bure, anafuliwa, lakini hapewi hata senti tano. na nahisi anajua jinsi tunavyomchukia kiasi hamuombi hata mmoja wetu pesa. Jukumu letu ni kumlea mpaka utakapofika mwisho wake full stop.
Hiyo miaka mitano mama nae alifanya nini? Isije ikawa chanzo cha kubadilika ni huyo mama. Hapo ndipo linapokuja wazo la Fixed Point
The boss kaongea point leo..sijui wanaume wanasapoti kwa kumaanisha au basi tu.sababu ukiangalia,most men wako hivo.hasa hapa mjini dar,panachanganya sana watu.maisha ya kuigana na kuendekeza marafiki wasio na maendeleo..
Unakuta mtu analipwa mshahara wa kawaida tu ila mwanaume anaenda kukata kucha saluni na kusuguliwa miguu,kweli??ilimradi aonekane nae wamo kitaa.hana kiwanja wala maendeleo ya msingi,gari kakopa benki na kutwa wanawake.
Hivi mwanaume kuwa mhuni ni lazima eeh?its like imekuwa desturi mwanaume lazima apitie kipindi cha kuhangaika hovyo na women.wanaita 'phase ya ujana' wasijue hiyo ndo inadetermine uzee.ndomana maryoo wamezidi.janaume lipo lipo tu,akimuona kwenye gari utasema wa maana kumbe mkewe ndo anamuweka mjini.hana mipango,mshahara haileweki unapoishia.
mtu anaendekeza pombe,akitoka kazini lazima apitie bar.ukiwaona humu jf wanajitetea eti mbona mwanaume unakunywa bia na watoto wanaenda shule.we kila siku unaache elf 10 bar,kwa wiki ni elf 70.bado hujafanya tu kitu cha maana nayo?hapo familia yake haijatoka out karibu mwaka.ukidunduliza hizo elf 10 ukaenda vacation hata hapo ufukweni na familia,bado hujajenga kitu kweli??..
Men get serious...

MUNGU wetu atuhurumie sana, hasa ukiwa na mume --------!!
Wazee wa zamani hawakua na challenge ,walibweteka sana......kama ukipata mda ukaongea na wazee...na kuna wengine walioko kwenye 40-50...story zao zinauzi sana....limtu limepanga, halina hata kiwanja alafu linasema ohhh hapo kijitonyama /mikocheni tuliitiwa viwanja bure tuakakataa....eti sababu kulikua ni tindiga......napataga hasira sana.
kwa kweli umenivunja mbavu, mie sijawahi kuona mama anaeweza kufanya upuuzi na maisha ya watoto wake aisee, huyo mama atakuwa sio mzima, lakini hawa baba zetu hawa, ni hatari.