Mkwe wewe umeshajipanga? Ama bado upo upo? Mie sijielewi kama nishafikia pa kilujipanga ama bado!
!
Ok hizo ni kanuni za kiuchumi nazielewa vizuri sana. Mimi msingi wa maswali yangu ni kwamba hata huyo aliepata ufahamu wakielimu akajua how much to consume kulingana na income yake nae kabarikiwa akili hiyo na Mungu. Kwakuwa wapo wenye ujuzi huohuo lakini hawautumii kujipatia hayo maisha safi. Mzee Ngurumo na watu wamfano wake waliobahatika kupata neema kipindi cha ujana wao wakazichezea wao walikosa neema ya ufahamu wa kuwekeza kwa ajili ya maisha ya baadae. Nikiwa na maana kwamba umaskini na utajiri pia ni sehemu ya mipango ya Mungu. Mungu anajua nani atakuwa mzembe ktk utajiri alionao na mwisho ataja kuwa maskini. Sema ni siri yake Mungu kwani hakuna aliezaliwa anajua kuwa yeye atakuwa tajiri au maskini. Huwezi ukakaa tu chini ukawa na fikra kuwa utapata tu kwakuwa Mungu ndie anaejua wewe utakuwa tajiri bali mtu unapaswa kuhangaika na kujitafutia ila ikitokea umekosa pamoja na juhudi zote ulizoonyesha katika kutafuta unapaswa kuamini kuwa Mungu ndie aliepanga hayo na hapo itakusaidia pia Kumshukuru kwakila jambo la furaha au la shida. Ndio maana as a human being we do our best and God do himself the rest. Unapokuwa unasema Mungu hajui nani atakuwa maskini au tajiri manake wewe unakuwa mpingaji wa kwamba Mungu hajui mambo ya siri. Wakati yeye ndio anaejua yaliokuwa, yanayotokea sasa na yatakayotokea kesho tusioijua wewe na mimi. Cc Kibibi Jongo.
ha haaaa, umenipeleka kona mbaya sana rafiki........Kwanza, za kuadimika?
Kwa maneno mengine, mwanaume akiharibu au akitengeneza ni sababu ya mwanamke? Akicheat au akiwa mwaminifu ni sababu ya mwanamke? yeye hana will na uwezo wa kufanya maamuzi yake mwenyewe?
umenikumbusha wakati mzee kastaafu akafanikiwa kujenga kibanda last minute, kwa mara ya kwanza nikapata kusikia sauti ya mvua kwenye nyumba ya bati ambayo haijawekwa ceiling it was hard, ukizingatia nimezaliwa na kukulia kwenye nyumba za sirikali za vigae.
Anyway kwa watoto wa baba yetu, we took it positive kiasi kwamba hakuna mtoto ambaye alifikisha 30yrs bila kuwa na nyumba, so tulijifunza kutokana na makosa ya mzazi; you can do the same.
ukipata mume wa hovyo ndio kwisha habari yako ujue.na ukipata mume wa hovyo je?
Mimi nafikiri ukipata mke wa hovyo na ukakubali kufuata uovyo wake nawe ni wa hovyo au akili zako ni za kushikiwa. Ofcourse kama couple mnahitaji kuwa na malengo mliyokubaliana na strategy mlizokubaliana.
Kwanza, za kuadimika?
Kwa maneno mengine, mwanaume akiharibu au akitengeneza ni sababu ya mwanamke? Akicheat au akiwa mwaminifu ni sababu ya mwanamke? yeye hana will na uwezo wa kufanya maamuzi yake mwenyewe?
kwasababu hawalali wanasaka maisha huku wakiwa hawana afya njema na unajua afya nayo ni muhimu katika kujibidiisha.Nimesoma maelezo yenu hapo juu na mmeonyesha kuwa juhudi yako ndio utajiri wako na uvivu wako ndio umaskini wako. Kuna watu hawalali katika maisha yao wao kucha kutwa wanahangaika kusaka maisha tena wakiwa na mipango mizuri ya kipesa lakini mwisho wa siku hawafanikiwi wanabakia hohehahe hili linasababishwa na nini?
baadhi ya wazazi wa kiume wana shida sana, mie mzee wangu kaja kujenga ka nyumba juzi juzi tena nadhani hakajaisha, na alizishikaga haswa lakini kwake tunaelewa zilipokuwa zinaishia, starehe/wanawake, alioa kila mji, anaishi kimaskini sana sana sasa hivi yaani basi tu, na ni mtu ambae angejipanga angekuwa mbaliii sanaaa.
kwasababu hawalali wanasaka maisha huku wakiwa hawana afya njema na unajua afya nayo ni muhimu katika kujibidiisha.
The Boss , kuna wazee wengine hawashauriki, mimi mwenyewe baba yangu alikuwa hivyo, na ni mtu wa East Africa, alistaafu na mamilioni ya pesa , lakini hakuwa na hata kibanda, sana sana alienda kuoa mke mpya akamdaharau mama yetu,Uzuri mama yetu naye alikuwa anafanya kazi na ana nyumba 5 hapa mjini, yeye aliondoka na pesa zilipoisha akarudi home, so mtu kama huyo mnamfanya kama mbwa wa kizungu anakula bure, analala bure, anafuliwa, lakini hapewi hata senti tano. na nahisi anajua jinsi tunavyomchukia kiasi hamuombi hata mmoja wetu pesa. Jukumu letu ni kumlea mpaka utakapofika mwisho wake full stop.Gombaneni nae sasa hivi
atawasumbua mno huyo baadae...
atawatolea laana msipompa pesa...hapo baadae
mngeanza kugombana nae sasa
Mkuu tuwasamehe, hawakuwa na motivation ya kujenga aisee...
After all, walikuwa anaogopa magonjwa ya zinaa tu...tena mengi yakitibiwa kirahisi na PPF!!
Ndo maana natamani kusikia wakitupa na upande huo..
Babu DC!!
ha haaa, hapo kwenye kutaka kukimbia nyumba ndo balaa, lol!
kuna siku niliambiwa "siku hizi sitakuambia unikumbushe, maana inakuwa kero". yaani mimi nikishaona hapa kuna kitu tunataka kukifanya, then nikaambiwa nikumbushe siku nyingine mbona atajutaaaa, atakumbushwa hata anapokuwa usingizini.....
Ila ninachowapendea huwa mnakuwa na shukrani sana ..... mnajua kabisa kuwa haya yamefanyika sababu ya MKE WANGU
Ahsante kwa kuni cc Mkuu! Nimekusoma! Ila hujatuelewa nadhani! Mungu amekupa maarifa akili na utashi wa kujua mema na mabaya.
Nidhamu ya kukusanya (kufanya kazi, juhudi na maarifa) ndiyo Neema yenyewe. Matunda yake ni USTAWI.
Sasa wewe unataka kuhalalisha kwamba unapotapanya, na starehe na anasa kile ulichokipata kwa Neema ni mpango wa Mungu pia!
ha haa, siku hizi wanajidai mishahara inaingizwa bank, lol!My dad alikuwa yeye na his dear bottle, imagine miaka 5 ya ndoa alikuwa akipata mshahara anamkabidhi mama, na mama anampa za matumizi binafsi; lakini later in the years mama alikuwa ni wa kumsachi suruali kila akija mbwi ndipo aongezee kwa mahitaji.
Nyumba alisema anayo.Nyumba sijui but uisishangae akiwa hana
mbona marehemu Mzee Kipara alikuwa hana nyumba
na alikuwa kazaliwa mjini hapa hapa Dar?
na aliajiriwa RTD...miaka hiyo
The Boss , kuna wazee wengine hawashauriki, mimi mwenyewe baba yangu alikuwa hivyo, na ni mtu wa East Africa, alistaafu na mamilioni ya pesa , lakini hakuwa na hata kibanda, sana sana alienda kuoa mke mpya akamdaharau mama yetu,Uzuri mama yetu naye alikuwa anafanya kazi na ana nyumba 5 hapa mjini, yeye aliondoka na pesa zilipoisha akarudi home, so mtu kama huyo mnamfanya kama mbwa wa kizungu anakula bure, analala bure, anafuliwa, lakini hapewi hata senti tano. na nahisi anajua jinsi tunavyomchukia kiasi hamuombi hata mmoja wetu pesa. Jukumu letu ni kumlea mpaka utakapofika mwisho wake full stop.
Umshukuru sana mkeo, kakusaidia.Mke wangu balaa...swali la kila mara ni kutoka kwenye upangaji mbona nilikoma! Ila kuna familia mama ni starehe tu na mavazi na magari.
ha haa, siku hizi wanajidai mishahara inaingizwa bank, lol!
labda tudai kupewa bank cards, mbona kazi.
Ila inaudhi sana baba asiye responsible.
Mi nakumbuka uncle wangu alikuwa kila akitoka job anarudi home anauliza kama kuna shida atatatua shida zenu then huyooooo kwenye bottles......... akirudi kabla hamjalala basi ujue huko hakujanoga, otherwise atarudi kesho kuchukua funguo za ofisi na kuwahi job