Wanaume na I LOVE YOU

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi. hii inaonyesha hamjui kutongoza kwani neno ni hilo tu la kumpata mtu?
 
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi.

Umejuaje kwamba hawamaanishi?
 
Kwan bebii hata kama nataka kukutungua tu unadhani ntakuambia i hate you?
 
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi.
Na nyie pia mnapenda kuambiwa hivyo!!
 
mi siwezi kusema hata siku moja kama simaaanishi
 
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi.

Bebiii wangu
Acha mwanaume awe mwanaume tu
Anasifa zake za kipekee ambazo zingine hazibadiliki.
So ataendelea kuwa mwanaume tu, na wala si jinsia nyingine
 
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi.
............ I love You:clock:
 
Back
Top Bottom