Wanaume muwe makini muendapo kujisaidia

Wanaume muwe makini muendapo kujisaidia

Wakaka wababa vijana kwa wazee wa kiume jamani tunaomba mjitahidi kulenga tundu vizuri wakati wa kukojoa pindi mnapoenda vyooni. Nadhani Maumbile yenu yalivo mnayajua kabisaa. Unakuta mtu kasimama hapa kojo linaruka kuleeeeeeee . Jaman wakati wa kukojoa kama inamwaga kusiko basi muwe kama mnazishika hizo na kuzielekezea kwenye tundu husika na si kuziachia chororororororororororororotrorororo maeneo yahapo pembeni kwa chini.

Inakera inaudhi inaboa inasikitisha na kutia hasira sana mtu unaingia huko nakukutana na hio mikojo iliotapakaa hapo chini. Maumbile yetu wenzenu yamekaa vibaya sana yani kuchuchumaa kwa aslimia zote kunatuhuu linapokuja suala la choo. Ndomana kumekua na tatizo sugu la UTI hasa kwa sisi wanawake ni tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma.. ni kutokana na mabakteria na ma virus tunayokutana nayo vyooni hasa vyoo vya public. Mwanamke na slippers zako Unaeza ingia chooni ile mlangoni tu ukakutana na mimaji ya mikojo iliotapakaa hapo chini.

Unakutana na Makojo yanannnuka hatari yenye mchanganyiko wa takataka kibao zinazopita huko chini harufu kali sana za kojo kutokataa na mapombe ma bacteria mavijidudu ma vimelea vya gonjwa binafsi la mtu. Vyote hivo ni rahisi sana kutuattack sisi huku chini pale yunapochuchumaa huko vyooni. Usione watu wanatembea wengine ndani wameozaaa.

Ewe mwanaume tengeneza mazingira rafiki kwa ajili ya ustawi na afya za mama dada mtoto ndugu na jamaa zetu wakike. Inasemekana aslimia kubwa wanaume huwa ni wachafu sana linapokuja suala la usafi na matumizi ya choo.

Tumia choo vizuri na kwa ufasaha, si kwa haja ndogo tu na kubwa pia. Mtu ni afya mwananchi elewa.

Nihayo tu kwa leo, Mchana mwema.
Kama ni familia yako waambie wao otherwise kama ni seheme ya public kuna vyoo vya kike na vya kiume, maana jamii inaelewa vyema hayo maumbile kama ulivyosema. Vyoo vya kiume unafuata nini? Halafu kwenye vyoo vya kiume sehemu nyingi kuna sehemu maalumu za kukojoa wanaume.
 
Mm najua vyo vya public huwaa vimetengwa vya wanawake na wanaume ,, Sasa sijui unamaanisha nn unaposema wanaume eanachafua vyoo.
Naomba ufafanuzi hapo ni wap ME na KE wanashare vyo vya public.?
Mbona vipo jamani?? Pia na kwenye nyumba za kupanga hata baadhi ya taasisi kuna shule fulani hivi staff wanashea.. Kota za walimu huko wanashea kuna Kota za hospital fulani yaleyale
 
Wakaka wababa vijana kwa wazee wa kiume jamani tunaomba mjitahidi kulenga tundu vizuri wakati wa kukojoa pindi mnapoenda vyooni. Nadhani Maumbile yenu yalivo mnayajua kabisaa. Unakuta mtu kasimama hapa kojo linaruka kuleeeeeeee . Jaman wakati wa kukojoa kama inamwaga kusiko basi muwe kama mnazishika hizo na kuzielekezea kwenye tundu husika na si kuziachia chororororororororororororotrorororo maeneo yahapo pembeni kwa chini.

Inakera inaudhi inaboa inasikitisha na kutia hasira sana mtu unaingia huko nakukutana na hio mikojo iliotapakaa hapo chini. Maumbile yetu wenzenu yamekaa vibaya sana yani kuchuchumaa kwa aslimia zote kunatuhuu linapokuja suala la choo. Ndomana kumekua na tatizo sugu la UTI hasa kwa sisi wanawake ni tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma.. ni kutokana na mabakteria na ma virus tunayokutana nayo vyooni hasa vyoo vya public. Mwanamke na slippers zako Unaeza ingia chooni ile mlangoni tu ukakutana na mimaji ya mikojo iliotapakaa hapo chini.

Unakutana na Makojo yanannnuka hatari yenye mchanganyiko wa takataka kibao zinazopita huko chini harufu kali sana za kojo kutokataa na mapombe ma bacteria mavijidudu ma vimelea vya gonjwa binafsi la mtu. Vyote hivo ni rahisi sana kutuattack sisi huku chini pale yunapochuchumaa huko vyooni. Usione watu wanatembea wengine ndani wameozaaa.

Ewe mwanaume tengeneza mazingira rafiki kwa ajili ya ustawi na afya za mama dada mtoto ndugu na jamaa zetu wakike. Inasemekana aslimia kubwa wanaume huwa ni wachafu sana linapokuja suala la usafi na matumizi ya choo.

Tumia choo vizuri na kwa ufasaha, si kwa haja ndogo tu na kubwa pia. Mtu ni afya mwananchi elewa.

Nihayo tu kwa leo, Mchana mwema.
Sawa tumekusikia wanaume wenye tabia hiyo lazima tuache. Mwanaume anakosea kulenga kukokojoa kwenye tundu la choo lakini hutasikia amekosea kulenga kukojoa kwenye lile tundu takatifu la uzima, kizazi na kifo.

[HASHTAG]#wanaume[/HASHTAG] tubadilike# tulenge vizuri katikati matundu ya choo.UTI sio nzuri
 
Kama ni familia yako waambie wao otherwise kama ni seheme ya public kuna vyoo vya kike na vya kiume, maana jamii inaelewa vyema hayo maumbile kama ulivyosema. Vyoo vya kiume unafuata nini? Halafu kwenye vyoo vya kiume sehemu nyingi kuna sehemu maalumu za kukojoa wanaume.
Sijakurupuka nimeandika nachokijua na nilichokiona sehemu nyingi tu
 
Choo cha nyumbani mnatumia wangap?!
Pekeangu[/QUOTE]
Sasa hayo matatizo unakutana nayo wapi maana hata kazini kuna vyoo separate kati ya wanaume na wanawake halaf mara nyingi wanawake wanawekewa vyoo vya kukaa
 
Sasa hayo matatizo unakutana nayo wapi maana hata kazini kuna vyoo separate kati ya wanaume na wanawake halaf mara nyingi wanawake wanawekewa vyoo vya kukaa[/QUOTE]

Huku niliko na sehemu nyingine.. Sio kitu kizuri kusema kama ofisini mnashea choo ina ujue tu vipo na nimeshuhudia si ofisini tu hata ninapoishi
 
Sasa hayo matatizo unakutana nayo wapi maana hata kazini kuna vyoo separate kati ya wanaume na wanawake halaf mara nyingi wanawake wanawekewa vyoo vya kukaa

Huku niliko na sehemu nyingine.. Sio kitu kizuri kusema kama ofisini mnashea choo ina ujue tu vipo na nimeshuhudia si ofisini tu hata ninapoishi[/QUOTE]

Hehehe basi ukiingia mwaga maji kwnz kabla hujachuchumaa
 
Wakaka wababa vijana kwa wazee wa kiume jamani tunaomba mjitahidi kulenga tundu vizuri wakati wa kukojoa pindi mnapoenda vyooni. Nadhani Maumbile yenu yalivo mnayajua kabisaa. Unakuta mtu kasimama hapa kojo linaruka kuleeeeeeee . Jaman wakati wa kukojoa kama inamwaga kusiko basi muwe kama mnazishika hizo na kuzielekezea kwenye tundu husika na si kuziachia chororororororororororororotrorororo maeneo yahapo pembeni kwa chini.

Inakera inaudhi inaboa inasikitisha na kutia hasira sana mtu unaingia huko nakukutana na hio mikojo iliotapakaa hapo chini. Maumbile yetu wenzenu yamekaa vibaya sana yani kuchuchumaa kwa aslimia zote kunatuhuu linapokuja suala la choo. Ndomana kumekua na tatizo sugu la UTI hasa kwa sisi wanawake ni tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma.. ni kutokana na mabakteria na ma virus tunayokutana nayo vyooni hasa baadhi ya vyoo vya public. Nyumba za kupanga hata baadhi ya kotaz za serikali. Mwanamke na slippers zako Unaeza ingia chooni ile mlangoni tu ukakutana na mimaji ya mikojo iliotapakaa hapo chini.

Unakutana na Makojo yanannnuka hatari yenye mchanganyiko wa takataka kibao zinazopita huko chini harufu kali sana za kojo kutokataa na mapombe ma bacteria mavijidudu ma vimelea vya gonjwa binafsi la mtu. Vyote hivo ni rahisi sana kutuattack sisi huku chini pale yunapochuchumaa huko vyooni. Usione watu wanatembea wengine ndani wameozaaa.

Ewe mwanaume tengeneza mazingira rafiki kwa ajili ya ustawi na afya za mama dada mtoto ndugu na jamaa zetu wakike. Inasemekana aslimia kubwa wanaume huwa ni wachafu sana linapokuja suala la usafi na matumizi ya choo.

Tumia choo vizuri na kwa ufasaha, si kwa haja ndogo tu na kubwa pia. Mtu ni afya mwananchi elewa.

Nihayo tu kwa leo, Mchana mwema.
 
Umesahau na matumizi ya maji wengi wenu hamtumii maji mnapokwenda haja ndogo au kubwa,tissue hazina usafi wowote.
 
Mm nalenga ww! Kama nalenga mpaka kashimo kadogo kenye joto na kamezungukwa na nyasi nyeusi na sikojoi pemben sembuse mshimo Wa choo??[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] kwa msisitizo we jamaa bana
 
Ya mwanaume imekaa vibaya! Ya mwanamke je? Maana yeye akisimama iko mbele, akiinama Inakuwa nyuma, akichuchumaa Inakuwa chini, ipi iliyokaa vibaya Mimi inanichanganya iko wapi hasa? Mbele, nyuma au chini?
 
Wakaka wababa vijana kwa wazee wa kiume jamani tunaomba mjitahidi kulenga tundu vizuri wakati wa kukojoa pindi mnapoenda vyooni. Nadhani Maumbile yenu yalivo mnayajua kabisaa. Unakuta mtu kasimama hapa kojo linaruka kuleeeeeeee . Jaman wakati wa kukojoa kama inamwaga kusiko basi muwe kama mnazishika hizo na kuzielekezea kwenye tundu husika na si kuziachia chororororororororororororotrorororo maeneo yahapo pembeni kwa chini.

Inakera inaudhi inaboa inasikitisha na kutia hasira sana mtu unaingia huko nakukutana na hio mikojo iliotapakaa hapo chini. Maumbile yetu wenzenu yamekaa vibaya sana yani kuchuchumaa kwa aslimia zote kunatuhuu linapokuja suala la choo. Ndomana kumekua na tatizo sugu la UTI hasa kwa sisi wanawake ni tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma.. ni kutokana na mabakteria na ma virus tunayokutana nayo vyooni hasa baadhi ya vyoo vya public. Nyumba za kupanga hata baadhi ya kotaz za serikali. Mwanamke na slippers zako Unaeza ingia chooni ile mlangoni tu ukakutana na mimaji ya mikojo iliotapakaa hapo chini.

Unakutana na Makojo yanannnuka hatari yenye mchanganyiko wa takataka kibao zinazopita huko chini harufu kali sana za kojo kutokataa na mapombe ma bacteria mavijidudu ma vimelea vya gonjwa binafsi la mtu. Vyote hivo ni rahisi sana kutuattack sisi huku chini pale yunapochuchumaa huko vyooni. Usione watu wanatembea wengine ndani wameozaaa.

Ewe mwanaume tengeneza mazingira rafiki kwa ajili ya ustawi na afya za mama dada mtoto ndugu na jamaa zetu wakike. Inasemekana aslimia kubwa wanaume huwa ni wachafu sana linapokuja suala la usafi na matumizi ya choo.

Tumia choo vizuri na kwa ufasaha, si kwa haja ndogo tu na kubwa pia. Mtu ni afya mwananchi elewa.

Nihayo tu kwa leo, Mchana mwema.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom