Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,016
Wakaka wababa vijana kwa wazee wa kiume jamani tunaomba mjitahidi kulenga tundu vizuri wakati wa kukojoa pindi mnapoenda vyooni. Nadhani Maumbile yenu yalivo mnayajua kabisaa. Unakuta mtu kasimama hapa kojo linaruka kuleeeeeeee . Jaman wakati wa kukojoa kama inamwaga kusiko basi muwe kama mnazishika hizo na kuzielekezea kwenye tundu husika na si kuziachia chororororororororororororotrorororo maeneo yahapo pembeni kwa chini.
Inakera inaudhi inaboa inasikitisha na kutia hasira sana mtu unaingia huko nakukutana na hio mikojo iliotapakaa hapo chini. Maumbile yetu wenzenu yamekaa vibaya sana yani kuchuchumaa kwa aslimia zote kunatuhuu linapokuja suala la choo. Ndomana kumekua na tatizo sugu la UTI hasa kwa sisi wanawake ni tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma.. ni kutokana na mabakteria na ma virus tunayokutana nayo vyooni hasa baadhi ya vyoo vya public. Nyumba za kupanga hata baadhi ya kotaz za serikali. Mwanamke na slippers zako Unaeza ingia chooni ile mlangoni tu ukakutana na mimaji ya mikojo iliotapakaa hapo chini.
Unakutana na Makojo yanannnuka hatari yenye mchanganyiko wa takataka kibao zinazopita huko chini harufu kali sana za kojo kutokataa na mapombe ma bacteria mavijidudu ma vimelea vya gonjwa binafsi la mtu. Vyote hivo ni rahisi sana kutuattack sisi huku chini pale yunapochuchumaa huko vyooni. Usione watu wanatembea wengine ndani wameozaaa.
Ewe mwanaume tengeneza mazingira rafiki kwa ajili ya ustawi na afya za mama dada mtoto ndugu na jamaa zetu wakike. Inasemekana aslimia kubwa wanaume huwa ni wachafu sana linapokuja suala la usafi na matumizi ya choo.
Tumia choo vizuri na kwa ufasaha, si kwa haja ndogo tu na kubwa pia. Mtu ni afya mwananchi elewa.
Nihayo tu kwa leo, Mchana mwema.