Wanaume muwe makini muendapo kujisaidia

Wanaume muwe makini muendapo kujisaidia

Asante Kwa darsa la kunyer na kukojoa tutajitahidi kulenga shabaha na kuhit the target precisely tublwihii!

Ebu piga picha Sizonje akikata mzigo (I think very roughly)😀😀😀
daaah bro mungu anakuona ujue na haya maneno yako hahahah
 
Mkuu hiyo nyumba yenu haina ustaarabu inaamana jinsia zote mbili mnatumia choo kimoja?
 
we

wengine tuna tumia vya shimo
upload_2017-2-9_13-27-11.png


Kikubwa ni KURENGA, ndio hoja ya mleta mada

upload_2017-2-9_13-28-34.png
 
Wakaka wababa vijana kwa wazee wa kiume jamani tunaomba mjitahidi kulenga tundu vizuri wakati wa kukojoa pindi mnapoenda vyooni. Nadhani Maumbile yenu yalivo mnayajua kabisaa. Unakuta mtu kasimama hapa kojo linaruka kuleeeeeeee . Jaman wakati wa kukojoa kama inamwaga kusiko basi muwe kama mnazishika hizo na kuzielekezea kwenye tundu husika na si kuziachia chororororororororororororotrorororo maeneo yahapo pembeni kwa chini.

Inakera inaudhi inaboa inasikitisha na kutia hasira sana mtu unaingia huko nakukutana na hio mikojo iliotapakaa hapo chini. Maumbile yetu wenzenu yamekaa vibaya sana yani kuchuchumaa kwa aslimia zote kunatuhuu linapokuja suala la choo. Ndomana kumekua na tatizo sugu la UTI hasa kwa sisi wanawake ni tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma tumbo linauma.. ni kutokana na mabakteria na ma virus tunayokutana nayo vyooni hasa vyoo vya public. Mwanamke na slippers zako Unaeza ingia chooni ile mlangoni tu ukakutana na mimaji ya mikojo iliotapakaa hapo chini.

Unakutana na Makojo yanannnuka hatari yenye mchanganyiko wa takataka kibao zinazopita huko chini harufu kali sana za kojo kutokataa na mapombe ma bacteria mavijidudu ma vimelea vya gonjwa binafsi la mtu. Vyote hivo ni rahisi sana kutuattack sisi huku chini pale yunapochuchumaa huko vyooni. Usione watu wanatembea wengine ndani wameozaaa.

Ewe mwanaume tengeneza mazingira rafiki kwa ajili ya ustawi na afya za mama dada mtoto ndugu na jamaa zetu wakike. Inasemekana aslimia kubwa wanaume huwa ni wachafu sana linapokuja suala la usafi na matumizi ya choo.

Tumia choo vizuri na kwa ufasaha, si kwa haja ndogo tu na kubwa pia. Mtu ni afya mwananchi elewa.

Nihayo tu kwa leo, Mchana mwema.
Dada kifaa muhimu sana hiki kitakufaaa

e96d5f6f6986e737b379106a0ddeb794.jpg
520a7cdf87a4d07cf66448868a027b72.jpg
cd32d37a33cb7e24b39e7eac9277faea.jpg
 
Kwani huko kazin kwenu hamna tofauti ya vyoo vya wanawake na wanaume?!


Au umezungumzia choo pendwa?
 
"Nokia83, post: 19643706, member: 200158"]Kwani huko kazin kwenu hamna tofauti ya vyoo vya wanawake na wanaume?!


Au umezungumzia choo pendwa?[/QUOTE]
Nasemea kwenye vyoo vya kushea hata huko kwenu
 
"Nokia83, post: 19643706, member: 200158"]Kwani huko kazin kwenu hamna tofauti ya vyoo vya wanawake na wanaume?!


Au umezungumzia choo pendwa?
Nasemea kwenye vyoo vya kushea hata huko kwenu[/QUOTE]

Choo cha nyumbani mnatumia wangap?!
 
Huyo kazoea kuchangia choo maana hata kwa public kunatofautishwa wanawake na wanaume..
Na kama ni bar anaingiaga kwa wanaume au anaendaga na bar za vichochoroni wanako share choo,UTI haziwezi kuwaacha kwa sababu wanaogopa maji kujiswafi wanatumia tissue
Weee kuna majumba kibao yana vyoo vya kushea me na Ke
 
Agriiiiiiii
Nimesoma hii post huku nakula ugali na mgebuka kidogo nitapike
Mfyuuuuuuu
Thread zingine bwanaaa🙁🙁😡
Habari bure.. Ni kiherehere chako kuendelea kusoma ilhali unakula..
 
Back
Top Bottom