Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Na nyie mpunguze speed mnapokojoa manake utadhani bomba la maji kwa hiyo presha
Hivi nikweli? Naskia eti mwanamke akibanwa na mkojo halafu ghafla ukafungulia bomba kwa kasi maji ya bomba yakawa yanatoka kwa presha eti mkojo nao unatoka wenyeweha hahaha wakati huo tunasahahu kubana misuli ya uke tunaliachia tu
Kweli mkikojoa mkojo unatoka kwa presha kubwa sana kama ni chini unaweza kukuta shimo kabisa aiseSasa tukikojoa tumesimama si itachirizika kuanzia kwenye mapaja mpaka vidoleni jamani! '???!!
[emoji23] [emoji23] Mwanga Lutila mapembelo
Halafu Pombe yenyewe iwe ULANZI
ndiyo mkuuHivi nikweli? Naskia eti mwanamke akibanwa na mkojo halafu ghafla ukafungulia bomba kwa kasi maji ya bomba yakawa yanatoka kwa presha eti mkojo nao unatoka wenyewe
Huyo kazoea kuchangia choo maana hata kwa public kunatofautishwa wanawake na wanaume..Bila shaka ndio maana kunakuwa na vyoo vya wanaume na wanawake ili kuepusha matatizo kama hayo!
[emoji86] [emoji86] [emoji86] dah! Kwannndiyo mkuu
usibadilishe mada ,, usikojoe pembeni lengesha[emoji86] [emoji86] [emoji86] dah! Kwann
Mkuu mm nalenga mbona labda jaribu kunipa uone kama ntakosea kilenga na kukojolea pembenusibadilishe mada ,, usikojoe pembeni lengesha
Unafuata nini choo cha kiume
h hahah hahaMmmhhh!! Leo umekuja kivingine. Story za mashosti zmekata..
Halafu mbaya zaidi ukutane na kojo la pombe daaaaahhh! Utatamani kutapika
wengine tuna tumia vya shimo