Wanaume Mungu anatuona

Wanaume Mungu anatuona

Nimekaa hospital moja hapa mjini naona wakinamama na mimba zao.

Hakuna hata aliyeambatana na mume au aliyesababisha mimba. Mbaya zaidi wamama Afya hazijakaa vzr kabisa, wako kinyonge nyonge kabisa.

Tujaribu kuwana kaupendo kidogo. Na tujue Wanaume wote na tabia zetu hizi za kutekeleza wenzetu Mungu anatuona
Wengiwao hawakutegemea ila Kuna mbegu zikinasa hazichomoki
 
Tatizo wanawake wa siku hizi hawajielewi mtu upo naye kwenye mahusiano mara kampost baraka hujakaa sawa amempost james kesho tena anamtakia birthday wishes john hujakaa sawa unasikia safari njema my best friend Peter halafu baaadae anakwambia nna mimba yako nakimbia mbali na namba ya simu nabadilisha kabisa shenzi hawajui kubalance shobo hawajui tuna wachora tu wanavyojishau.
 
Mzee wangu ungejua wanavyoringa kabla ya kuwajaza usingeandikaa huu uzi.
Kweli kabisa mkuu kuna mmoja alikuwa ananiringia yaani unamtumia text WhatsApp leo anajibu baada ya siku 3 sms ya kawaida ndo hajibu kabisa nikampotezea akaenda huko akapata mimba sasa hivi ameshajifungua amekuwa mpole na mnyenyekevu sasa hivi nikiweka WhatsApp status lazima akoment au a reply emoj za kucheka, kwa sasa yupo arusha.

Sasa juzi kati kwenye mechi ya coastal union na yanga kwenye fainali ya FA nikamwambia nakuja huko lakini sina mwenyeji naomba unipokee na tutaenda kuangalia mpira wote akakubali bila kipingamizi halafu nilivyofika sijamtafuta nikachek game nikaondoka baadae ananiuliza kwa nn nimemdanganya nikamwambia nilichelewa kuja halafu mda wa kuondoka nilipata lift nikaondoka akaitikia kinyonge maana labda alijua atapata hela ya maziwa ya junior maana baba mtoto alimtelekeza na mimi katika kitu sifanyi kumbembeleza mwanamke mwenye dharau na anayeringa nimekula darsa kwa ali kiba.
 
Tatizo wanawake wa siku hizi hawajielewi mtu upo naye kwenye mahusiano mara kampost baraka hujakaa sawa amempost james kesho tena anamtakia birthday wishes john hujakaa sawa unasikia safari njema my best friend Peter halafu baaadae anakwambia nna mimba yako nakimbia mbali na namba ya simu nabadilisha kabisa shenzi hawajui kubalance shobo hawajui tuna wachora tu wanavyojishau.
Ahaaahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom