Wanaume mtalilipia hili

Wanaume mtalilipia hili

Wengine wanaweka majina ya ndugu kabisa. Dada Sky Eclat wa kwa mtogole kumbe......

Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu inapopigwa unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
 
Umenikumbusha mbaali 2006 buguruni sheli kwa wasomali kulikuwa na mgahawa umejificha,tupo na farida bint wa kizaramo,huyu bint alikutana na jamaa yetu kwenye daladala wakabadilisha namba, namba zikawa huba moto moto,jioni ile tulikuwa mezan watu wanne,farida akijinywea juisi ya pensheni,alimwachia kipenzi chake simu yake avinjari nayo.

Ghafla tukasikia jamani oneni huyu mwanamke alivyonisevu,ilikuwa ni sauti kavu iliyochanganyika na hasira na kitetemishi vyote vikidhiirisha msemaji yupo ktk wakati mgumu kihisia. Sote tukatupia macho ktk screen ya Nokia 2626,pale alipoipiga tu.....likatokea jina MAMA BURA. Hahahahahah wanawake ni wajuvi wa mambo
 
Ninapata picha hasira iliyompata
 
Teknok hiyo sahv ishapitwa na wakati, wengine huwaga majina ya kike tunasave kama majina ua gari:-
Escudo
Pajero
Prado
Maseratti
Chevrolet
BMW
Benz
Aston Martin
Lamborgini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbaali 2006 buguruni sheli kwa wasomali kulikuwa na mgahawa umejificha,tupo na farida bint wa kizaramo,huyu bint alikutana na jamaa yetu kwenye daladala wakabadilisha namba, namba zikawa huba moto moto,jioni ile tulikuwa mezan watu wanne,farida akijinywea juisi ya pensheni,alimwachia kipenzi chake simu yake avinjari nayo.

Ghafla tukasikia jamani oneni huyu mwanamke alivyonisevu,ilikuwa ni sauti kavu iliyochanganyika na hasira na kitetemishi vyote vikidhiirisha msemaji yupo ktk wakati mgumu kihisia. Sote tukatupia macho ktk screen ya Nokia 2626,pale alipoipiga tu.....likatokea jina MAMA BURA. Hahahahahah wanawake ni wajuvi wa mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu inapopigwa unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Mapenzi ni kama siasa tu madam, awamu yako ikiisha imeisha! Uking'ang'ania sana tunakuita Nkurunzinza! Ukichokwa ni heri kutafuta kazi nyingine za kufanya!
 
Hii mambo ya kuchunguzana simu ni tabu tupu.
Kuna siku nimejikuta nacheka mwenyewe.Nilinunua line ya airtel nikawa sijakariri no.kuna kipindi ikawa ndio naitumia sana kuwasiliana akiwamo wife.Siku moja w.end nikiwa nimepunzika hm,nikajikuta nikiipitia simu ya wife.nikagundua kuna namba imetumika sana kupigiwa wife.nikajua leo nimempata mtuhumiwa wangu.nikaamua kuibeep kama itapigwa,hamadi inaitaa kwangu!
Yaani nilicheka hata siaja wahi kumwambia!
Wakati mwingine bora kuacha tu simu ya mkeo iwe huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna binti mmoja nae sisahau, mapenzi yote nilomuonesha kumbe ye alikuwa kanisevu "Shangazi Hadija" kilichonifanya nijue, siku tuko kwenye shoo si nikampigia, dah! Raha ya mgegedo iliishia pale pale[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaripia kwa njia gani mkuu? na pia tutaripia wapi? maana hadaa haina jinsia siyo ke wala me.ila wanaume wenzangu punguzeni usanii .
 
Mi niliwah kukuta nimeseviwa kwa jna la Maelezo ya M-Pesa,
 
Watu wana mambo mengi ndiyo maana...

Mimi sijawahi save mtu tofauti...

Kwenye phone book yangu, jina nalisave kama lilivyo... Sina cha kuficha...

Cc: mahondaw
 
Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu inapopigwa unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Salma/Sarah - Said
Rehema- Raymond
Jane - John

Etc etc

It works both ways!
 
Back
Top Bottom