ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
Aisee ngoja niwe makini na haya majina mawili Mwajuma Madera, Shamimu Saloon, yawezekana kuna kitu haiwezekani wasumbue namna hiyo wakati mhusika ana dera moja tu na nywele fupi, ahsante mkuu kwa kunitoa tongotongo.
Fanya kauchunguzi mkuu, unaweza kuta unaibiwa mchana kweupe..