Wanaume mtalilipia hili

Wanaume mtalilipia hili

Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu unapopigwa unaona unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Hahahahaha🙂😉🙂😉 Ila ujanja wa zamani huo, nilishadakwa na kuadhibiwa, siku hizi tunayo style mpya, na ni hivi...😉 Siisemi...
 
Hii mambo ya kuchunguzana simu ni tabu tupu.
Kuna siku nimejikuta nacheka mwenyewe.Nilinunua line ya airtel nikawa sijakariri no.kuna kipindi ikawa ndio naitumia sana kuwasiliana akiwamo wife.Siku moja w.end nikiwa nimepunzika hm,nikajikuta nikiipitia simu ya wife.nikagundua kuna namba imetumika sana kupigiwa wife.nikajua leo nimempata mtuhumiwa wangu.nikaamua kuibeep kama itapigwa,hamadi inaitaa kwangu!
Yaani nilicheka hata siaja wahi kumwambia!
 
Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu unapopigwa unaona unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Mbona mimi ulinisevu fundi bomba sikumaindi?
 
Back
Top Bottom