Mbona nyinyi mnapenda kulelewa watoto wenu na yeye ana haki umlee mtoto wake, kwani kuna shida gani ukimlea mtoto wake?Kwakweli ameshaona mimi nina kazi anataka ajichomeke hapo tusaidiane kulea mwanae..
single faza broken hakubaliki
No reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Ongeza hio moja sasaWewe mkorofi kuna moja umeisahau hapo 😹😹😹
Umekuja kuomba msaada au umekuja kutuchamba wababa hukuNo reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Huu umri wewe ni mshangazi na ukute sura imekukomaa kama nyanya chungu lakini kila siku kuchagua wanaume, endelea kuchagua adi pale uchi wako utakapokuwa kama kisepe cha mtoto kikojozi.
Ndo tatizo linakuaga hapo, anataka ale pesa zako wakati yeye hana anacholeta mezani zaidi ya tafrani.Yeye mwenyewe hana kitu ila anataka kulalamikia wengine