Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

Wewe Una nini kwani? Wanawake akili zenu zinashangaza Sana unataka mwanaume alie na kitu ilihali wewe huna kitu unataka mwamba aanze kuteseka kubeba majukumu ya Baba yako, na Bora ukatae kweli kuliko ukamkubali jamaa uende kumtapeli hata hicho kidogo alichonacho
 
Kitaalamu ni kuwa huyo mwanaume amekuzidi kimaisha .

Miaka 28 na miaka 34 ni the same age hamjapishana .

Na kitaalamu wewe umemzidi huyo mwanaume miaka kwakuwa mwanaume anabidi kuoa mwanamke at least aliyemzidi miaka 10-12

Kuhusu kuwa na mtoto Kama single father means tayari yupo katika safe side .

Kuwa financial broke - hii sio swala la kumlaumu kwakuwa Tanzania Economy is very unpredictable.

MTU unayemuona Leo Ana uchumi mzuri he or she gonna be broke after one o two years.

Nadhani hoja yako ingekuwa Kama jamaa hakupendi , sio mwaminifu n.k

Ila hizo sababu ulizotoa hazina mashiko
 
Kama wewe una kazi ya kueleweka inatosha kusogeza Maisha mbaya zaidi ni kwamba kama wote mko chini kifinincial
 
Popote kambi kikubwa kuelewana. Unaweza mwelewa na mkafanya maisha. Kesho ya mtu ni fumbo kikubwa tu kama.ana jitambua na kujitafuta mwelewe
 
Salamu ya Kibabe sana.
NRNE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…